Car4Sale Gari inauzwa Mitsubishi Pajero (2004)

Asante.
 
Hiyo Pajero ni hybrid?
So mfano kwenye hili ninalouza hapa. Ukiweka mafuta ya 50K una uhakika wa kutembea km 100+.

So kwa mfano mimi nakaa segerea pale ni kama Km14 kufika posta kule, so mafuta ya 50K nitaweza kutumia kwa siku zaidi ya 3 hadi 4 kwa trip ya kwenda na kurudi mara moja kwa siku.

So unaweza kuelewa namna ya fuel efficiency ya hii gari.
 
Hii gari ina muungurumo wa kibabe sana, na hata ikiwa na suspension za kawaida barabara mbovu ipo na comfortability kubwa
Imetengenezwa kwaajiri ya mazingira magumu kama yetu so ni deal nzuri sana.

Ni uchumi tu umekaa hovyo ningeichukua niikaifanyie make up ndani aaaah acha kabisa.

Siti zake zote ni umeme. Zina heater yaani ukienda mikoa kama Mbeya hii unatulia ndani unawasha button ya heater ya siti unakuwa kama upo pembeni ya moto unalala fresh.

Siti kulaza, kupeleka mbele, kurudisha nyuma, kuipandisha juu na kuishusha inafanya kwa button ya umeme hakuna manual hapo.
 
Unaiuza Bure nn?
 

Nje ya madam

AHSANTE KWA SOMO ZURI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…