mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Anasikia story za gahawaMkuu ulishawahi kufanya uber ama unahadithiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasikia story za gahawaMkuu ulishawahi kufanya uber ama unahadithiwa?
Kweli Mkuu. Laiti upate wasaa japo wabkuendesha masaa 8 tuAnasikia story za gahawa
Ulitest udereva huko Uber kwa ile big horn yako nini mkuu au ile nissan ya mzungu?Kweli Mkuu. Laiti upate wasaa japo wabkuendesha masaa 8 tu
Kwanini uliacha mkuu?Chukua gari ambayo ina sifa hizi:
1. Engine size maximum cc1500 ili iwe friendly kwenye wese.
2. Rangi iwe silver au nyeupe maana kupaka hii rangi cheap na nyeupe ni safest car color.
3. Ndani kuwe na Music mzuri na Screen pale kwenye dashboard. Kumbuka asilimia kubwa ya wateja zako ni vijana watapendelea vitu kama hivyo.
4. Gari isiwe chini sana. Ground clearance iwe kubwa. Maana watu wengi wanakaa mitaa ambayo njia zake ni makorongo.
5. AC narudia AC nasema tena AC iwe kali. Abiria wanapenda sana hii huduma. Pia kutumia sana AC na kutopenda kufungua madirisha kunasababisha gari iwe safi ndani.
6. Kuna magari hayana lighter kwaajili ya kuchaji mfano IST so lazima ukaichongeshee kwa mafundi wajanja.
7. Ndani gari seat ziwe na rangi isiochafuka sana. Hii kazi ni kama kua Lodge/Hotel maid. Kuna wateja ni wachafu sana. Wanapandisha miguu kwa seat au dashboard. Acha tu.
Magari unayoweza check ni: IST, RUNX, ALLEX, PASSO, VITZ, na mengine madogo.
All in All kila lakheri. Pia fuata sheria na kanuni. Matrafiki wakiona plate no nyeupe uchomoi. Lazima uache mpunga.
Me nilifanya kwa RunX 1.5L nikaacha.
Nna mashaka km ushawahi tumia Uber kwa haya maelezoUnachagua vizuri tu usitake kudanganya watu,hata ukitaka Range Rover litakuja! Uber kuna gari nyingi sana tatizo nyie mmezoea kupanda ist,uber zipo mpaka Range Rover,Alphard, kwa ajili ya harusi na pia escort mfano kutoka airport kwenda hotelini,na zinakuwa kwenye msafara una king'ora cha polisi.
Ivyo vigari 80% ni wanawake ndo wanaviendeshaThread closed!
Ila anaweza akafikiria Terrios Kid. Kako juu juu, bei cheap afu engine yake 660cc.
Wateja wengi wanakaa mabonde kuinama. Vitz, IST ni changamoto.
Zipo wewe acha ubishi,au nipe namba yako jpili nikupeleke churchNna mashaka km ushawahi tumia Uber kwa haya maelezo
Mtu afanye Vogue Uber.????mnaumwaa nyiee
I drive thanks..Zipo wewe acha ubishi,au nipe namba yako jpili nikupeleke church
GoodgirlI drive thanks..
Uber kwa gari ya tajiri andika maumivu labda iwe yako na usifanyie njaaUlitest udereva huko Uber kwa ile big horn yako nini mkuu au ile nissan ya mzungu?
Mie naona ni 50 50 mkuu. Kama wewe ni tajiri (mmiliki wa gari) inategemea sana na uaminifu wa dereva ktk kuleta hesabu. Vinginevyo utaambulia maumivu..Hv ina ela mkuu, au kelele za watu?
Aisee nimekupa yule mtoto wa kichaga ukamkamue vizuri sio ulete usharobaro kama kwa kataapilla. Kipochi kiko halafu msafi last time nimemnyoa mwenyewe ndo nikapigaGoodgirl