Gari ipi inafaa kwa Uber?

Gari ipi inafaa kwa Uber?

Tafuta Mercedes utapiga sana hella...achana na mbwembwe za IST, RAUM, PASSO etc. Benz ina heshima yake wazungu wanakwambia, "Arrive with Class"
 
Chukua gari ambayo ina sifa hizi:

1. Engine size maximum cc1500 ili iwe friendly kwenye wese.
2. Rangi iwe silver au nyeupe maana kupaka hii rangi cheap na nyeupe ni safest car color.
3. Ndani kuwe na Music mzuri na Screen pale kwenye dashboard. Kumbuka asilimia kubwa ya wateja zako ni vijana watapendelea vitu kama hivyo.
4. Gari isiwe chini sana. Ground clearance iwe kubwa. Maana watu wengi wanakaa mitaa ambayo njia zake ni makorongo.
5. AC narudia AC nasema tena AC iwe kali. Abiria wanapenda sana hii huduma. Pia kutumia sana AC na kutopenda kufungua madirisha kunasababisha gari iwe safi ndani.
6. Kuna magari hayana lighter kwaajili ya kuchaji mfano IST so lazima ukaichongeshee kwa mafundi wajanja.
7. Ndani gari seat ziwe na rangi isiochafuka sana. Hii kazi ni kama kua Lodge/Hotel maid. Kuna wateja ni wachafu sana. Wanapandisha miguu kwa seat au dashboard. Acha tu.

Magari unayoweza check ni: IST, RUNX, ALLEX, PASSO, VITZ, na mengine madogo.

All in All kila lakheri. Pia fuata sheria na kanuni. Matrafiki wakiona plate no nyeupe uchomoi. Lazima uache mpunga.

Me nilifanya kwa RunX 1.5L nikaacha.
 
Kwanini uliacha mkuu?
Hakuna ela nn?
 
Unachagua vizuri tu usitake kudanganya watu,hata ukitaka Range Rover litakuja! Uber kuna gari nyingi sana tatizo nyie mmezoea kupanda ist,uber zipo mpaka Range Rover,Alphard, kwa ajili ya harusi na pia escort mfano kutoka airport kwenda hotelini,na zinakuwa kwenye msafara una king'ora cha polisi.
Nna mashaka km ushawahi tumia Uber kwa haya maelezo
Mtu afanye Vogue Uber.????mnaumwaa nyiee
 
Nasikia Uber hawa wataki wateja wenye mizigo ni kweli?
 
Wiki ilopita nilikuwa posta ofisi za uber, kuanzia sasa hawasajili gari zaid ya cc 1300, pia gari ianzie mwaka 2003, pia gari iwe ishasajiliwa kuwa commercial. Kuwa makini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hv ina ela mkuu, au kelele za watu?
Mie naona ni 50 50 mkuu. Kama wewe ni tajiri (mmiliki wa gari) inategemea sana na uaminifu wa dereva ktk kuleta hesabu. Vinginevyo utaambulia maumivu..
 
Back
Top Bottom