Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UteleziHuyo atatoka kukikaukaa
Kampagnola hapo inachomoka kama kwenye lami vileWataalamu wa offroad. Leteni maoni yenu.View attachment 770751
Ile gari ya kwanza ni nissan patrolHuyo hawezi kutoka hata kama ni 4 wheel...
Mcheki ndugu yake hapa..![]()
.Landrover ndio mwisho wa yote. 110 au 109 hata 135
.Wataalamu wa offroad. Leteni maoni yenu.View attachment 770751
utazipatia wapi hizo na fiat wanatengeneza visedan ckuhzKampagnola hapo inachomoka kama kwenye lami vile
Mkuu uko sahihi, nissan patrol ni nyoko, hii gari inanipitisha katika sehem ambazo watu wamekata tamaa mie naunguruma.Nissan patrol hapo ndio mahala pake...
Eneo kama hilo gari aina ya Nissan patrol huwa hazikwami anaekwama ni dereva.