Gari ipi itachomoka hapa?

Gari ipi itachomoka hapa?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,496
Wataalamu wa offroad. Leteni maoni yenu.
IMG_20180508_203018.jpg
 
Mkuu unamaanisha huyu mnyama na kile kipanya kule??
 
Huyo hawezi kutoka hata kama ni 4 wheel...


Mcheki ndugu yake hapa..
Da1PsIKUwAAJT_-.jpg:small
 
inatoka hapo. akilock diff na mwendo mdogo mdogo... 4wd made for places like tht
 
Hapo hata passo yangu inapita, ni dereva tu kama hatakuwa makini.
 
Tope lenye maji nakatiza na ist hapo
 
Hiyo nissan patrol naona dereva kadevera ilikuwa mpaka kawa anaikata barabara.. Maana barabara inaonekana inatokea/kuelekea katika gari ndogo kule huku huyu wa nissan anaoneka kaipa barabara ubavu, sijui katuowa na ndege!![emoji23] [emoji23]


Yote 9, 10 gari yoyote ile ya offroad ikiwa imefungwa ile mitairi mikubwa kidogo hapo inachomoka bila wasiwasi.
 
Back
Top Bottom