Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

Gari ipi ni ni itanifaa kwa maoni yako?

Umechagua gari nyiingi utazania mwanamke bwana..huna pesa za kununua hizo gari hata moja wapo
 
Kweli kabisa maana yote mazuri na pia kwa magari hayo anayoyahitaj jamaa anaonekana wa moto yaan zipo hivyo bora anunue zote tu kingine ndugu wengi humu tumezoea kuona gari zetu za CC ndogo mfano Vitz, IST Rav 4 tumeenda mbali kidogo kwenye magari yenye uwezo wetu huwa tunazungumzia Harrier au Kluger ila huko ndugu marefu ila amtafute mshana atamsaidia.
Aisee, kukata mzizi wa fitina NUNUA YOOTE mkuu
 
nunua semitrela ukifika mahali unamaliza parking yote...... HAPO LAZIMA WATU WAJUE UNAMILIKI GARI LA GHARAMA KUBWA KWA MATUMIZI YA KAWAIDA. asante.
 
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
Mkuu kama unaishi na ndugu karibu waambie wakufunge kamba mapema, unakoelekea sio kuzuri, Hii itasaidia usianze kupiga watu na kuvunja vitu ovyo. Vilevile itawarahisishia wao kazi ya kukufiksha milembe ama Hosp ya vichaa ya karibu. Na ongea kwa experience kuna MTU alianza hivi kumbe uchizi ndio ulikuwa umeanza kukita mizizi na ni full mwehu sasa hivi. Poole
 
Hahaha, wivu ni mbaya sana .
 
Mkuu tafuta BMW x6 new version ziko poa sana na ni gari imara sana
 
Habar za wakat huu wakuu.Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa takribani miezi mitatu sasa hivi kuhusiana na swala la kuchagua gari nzuri ya kutembelea kati ya hizi ,Lexus Lx 570, toyota land cruiser v8 ,range rover vogue,range rover sport na range rover velar,naomba mawazo yenu yatakuwa na influence kubwa katika uamuzi wangu wa mwisho maana mimi nimeshindwa kabisa kuamua kila nikiamua naona nyingine ni nzuri zaidi,mke wangu na wanangu wawili wanapenda v8,ni nzuri lakini naona imezoeleka sana.karibuni kwa mchango.
we Alonga acha ujinga wako
 
Madam Op... yupo?
 
Back
Top Bottom