Gari ipi nzuri kati ya Harrier240G na Klugger

Gari ipi nzuri kati ya Harrier240G na Klugger

Ndio mkuu tena kwa muda mrefu....ila harrier ni hbr nyingine bana....nikafanya maamuz sahihi ya kuivuta

Eeeh, unasema harrier ni habari nyingine! Mbona engine yake ni 2.7L kama Prado ya Petrol, kwa nini upendelei PRADO unaogopa kupinduka kwa kuwa Center of Gravity yake hiko juu au unaogopa kupeperushwa na upepo ukiwa kwenye mwendo mkali?
 
Hurrier mpango mzima,tukianza na ulaji wa mafuta ipo economy compared to kluger, kluger kwa hurries in speed kluger cha mtoto,hurrier imara sio kama kluger zinachoka mapema,hurrier spares ela yako tu...hurrier gari ambayo ipo comfortable na hata ukitaka kuiuza cku za usoni baada ya kuitumia hupati shida zinatakiwa sanaa..ila take care mwendo wa hurrier mda wowote kukuangusha dkk 2 mbele.
 
Hahaaa umeua kaka....harrier ikianza kufika speed 160 unasikia kama imesimama haikimbiii,....daaah kumbe ukitoka nje watu wanashika vichwa...tupunguze speed kwa kwel.
 
Naomba kujua ubora na uimara wa Hurrier na Suzuki Escudo 3rd model kwa ukizingatia uimara,ulaji wa mafuta na upatikanaji wa spaya.
 
Naona hapa kila mtu anatoa uzoefu wake kwa Gari alilo tumia huwezi pata majibu sahhi, mie nimetumia Kruger mwaka wa pili sasa kwa kweli nikitoka Dar to Mbeya Gari inakimbia na inabalance ya kutosha, issue ya vipuri wala sio gharama ni kawaida mno ,pia ina space ya kutosha ndani
 
029c8d6ab55f81f3f292442d7940f8af.jpg
2002
 
Kwanza kuna Harrier za Aina Mbili Moja ni Harrier ya 2.4L ambayo engine code yake ni 2AZ-FE na Pili ni Harrier yenye engine code ni 1MZ ambayo ina cc 2990. Vivyo hivyo na Kluger iwe L au V zipo hivyo hivyo kama Harrier. Kwa hiyo Kwa ulaji wa mafuta Harrier ya 2AZ-FE na Kluger ya 2AZ-FE ni sawa kabisa kwasababu kila kitu ni sawa ila Ulaji wa mafuta unategemea na Vitu vingi kama Aina ya Uendeshaji, Pili service ya GAri kwa Wakati, Tatu Foleni nk. Vivyo hivyo kwa Harrier ya 1MZ na Klugger. Kwa hiyo Harrier ina comfotability ilhali Klugger kama harrier kwasababu hata parts number ni zilezile sema tu wengi wetu tunavutiwa na muonekano wa gari flani pamoja na mazoea tu kuwa Gari flani ina comfortability nzuri japo zipo zinazozidiana kama Harrier na PAsso nk.Uimara wa gari unategemea uendeshaji, wapi unaishi na barabara gani unatumia sana na utunzaji KITUNZE KIDUMU. Mwisho kwangu Ningechagua Klugger kwasababu inaonekana bei yake ni nafuu kuliko harrier.
 
Back
Top Bottom