Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua Harrier, hutasumbuka spare, spare ni rahisi kuzipata na kwa bei poa pale Ilala used na new one, mafundi wa Harrier mtaani ni wengi kuliko Klugger
Hata kwa honda crv? Coz nimewahi miliki Honda niliikubali kuliko gari zote!!Nimenunua hivi karibuni ya 2006. Nimefurahia sana comfort, pamoja na build quality. Bila ya shaka zina nguvu ya kutosheleza barabarani kiasi cha kwamba overtaking haikupi shida kabisa. Ila cha kushangaza zaidi ni kuwa matumizi ya mafuta ni wastani. Hayatofautiani na gari zenye engine za lita 2. Clearance ni nzuri sana kwa barabara zetu. Mashimo madogomadogo inafunika vizuri. Na engine ukiitunza ndio mnakwenda nayo mpaka kilomita laki tatu bila ya shida. Ina drive chain. Ktk gari niliowahi kuwa nazo(honda crv, nissan xtrail, na toyota 4runner)mi naona hii ndio best. Nimejaribu kukuekea links zenye specification ila nashindwa kwa ushamba...unaweza ukani pm for more info
Mungu atakujalia tu ndugu yangu.... You will get there.... Post yako imenifanya niwaze mengi.... Ubarikiwe.Dah yani haya maisha. Watu wanajadili magari kama akina mimi ninavojadili coca na pepsi, hope i will get there one day. Choose wisely mkuu.
Thanks mkuu......ubarikiwe nawe pia......pamoja sana mkuu.Mungu atakujalia tu ndugu yangu.... You will get there.... Post yako imenifanya niwaze mengi.... Ubarikiwe.
Mkuu, sijui kuhusu crv model mpya bila ya shaka maana nazo ni gari nzuri sana. Mi nilikuwa na model ya zamani ya 2000. Nilitamani sana kununua model mpya ila niliogopa baadae resale. Maana watu wana midomo mibaya!!!Hata kwa honda crv? Coz nimewahi miliki Honda niliikubali kuliko gari zote!!
Kweli mkuu ukisikiliza sana watu unapotea!! Watu waziogopa Honda but ni gari nzuri na ngumu sana!! Honda yenye mileage 200,000 kms ni sawa na Toyota yenye less than 50,000 kms!! Yaani ilifika mpaka 250,000 kms but haikuwahi sumbua engine kabisa!!!!Mkuu, sijui kuhusu crv model mpya bila ya shaka maana nazo ni gari nzuri sana. Mi nilikuwa na model ya zamani ya 2000. Nilitamani sana kununua model mpya ila niliogopa baadae resale. Maana watu wana midomo mibaya!!!
Tatizo sio gari ama mm mkuu. Tatizo uuzaji. Kila mtu ndio ameshaamua kuwa gari ni mbovu na haina spea basi. Utachanganyikiwa kumpata mteja.Kweli mkuu ukisikiliza sana watu unapotea!! Watu waziogopa Honda but ni gari nzuri na ngumu sana!! Honda yenye mileage 200,000 kms ni sawa na Toyota yenye less than 50,000 kms!! Yaani ilifika mpaka 250,000 kms but haikuwahi sumbua engine kabisa!!!!
Harrier ndani iko more comfortable......afu barabarani haikamatiki
Kweli mkuu!! Honda.... Nissan Mazda haziuziki!! Wengi wanaogopa kwa kujazwa ujinga!! But ni gari nzuri kushinda Toyota!!Tatizo sio gari ama mm mkuu. Tatizo uuzaji. Kila mtu ndio ameshaamua kuwa gari ni mbovu na haina spea basi. Utachanganyikiwa kumpata mteja.