Ndio mkuu tena kwa muda mrefu....ila harrier ni hbr nyingine bana....nikafanya maamuz sahihi ya kuivutaMkuu umewahi kuendesha Klugger!
Ndio mkuu tena kwa muda mrefu....ila harrier ni hbr nyingine bana....nikafanya maamuz sahihi ya kuivuta
Hahaaa umeua kaka....harrier ikianza kufika speed 160 unasikia kama imesimama haikimbiii,....daaah kumbe ukitoka nje watu wanashika vichwa...tupunguze speed kwa kwel.Hurrier mpango mzima,tukianza na ulaji wa mafuta ipo economy compared to kluger, kluger kwa hurries in speed kluger cha mtoto,hurrier imara sio kama kluger zinachoka mapema,hurrier spares ela yako tu...hurrier gari ambayo ipo comfortable na hata ukitaka kuiuza cku za usoni baada ya kuitumia hupati shida zinatakiwa sanaa..ila take care mwendo wa hurrier mda wowote kukuangusha dkk 2 mbele.
Teh teh teh...Hahaaa umeua kaka....harrier ikianza kufika speed 160 unasikia kama imesimama haikimbiii,....daaah kumbe ukitoka nje watu wanashika vichwa...tupunguze speed kwa kwel.