Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Atuwekee cif ya hiyo gari aweke na mazagaza yote ya pale bandarini hapo nitamuelewa..Hahah daah afu huwezi amini jamaa amekomaa mpk ameweka na picha ku-justify aisee,hahah.
Usituwekee picha then ukasema inauzwa milioni nane...Unawaza umaarufu/statuz zinasaidia nini mbona mtoto hivyo, gari brevis hii hapa mpyaaaaa owner unaanza kumiliki wewe milion 8
Cc2490 imetembea umbali km 82272,
Jambo usilolijua unatakiwa ukae kimyaView attachment 1500291
Siku nyingine ukitaka kudanganya watu mkuu, pitia pitia data kwanza...Katika comments ya kipuuzi ni hii yako, unaweza kujifanya mjuaji kumbe mtupu tu, ndiyo maana mnapigwa kila siku, ngoja nikuonyeshe gari hiyo Brevis
Hahah tena mkuu wewe ndio umeua kabisa.kodi ya brevisView attachment 1500498
Hahah tena mkuu wewe ndio umeua kabisa.
Mimi nilimuwekea brevis ya kinyonge kabisa ya mwaka 2001 huko ndio kule Tra ikaja Mil 4 na ushehe,hio ya 2007 lazima akune mbupu tu.
Nasubiri majibu ya mtoto wa mjini wa brevis ya mil 8.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahah tena mkuu wewe ndio umeua kabisa.
Mimi nilimuwekea brevis ya kinyonge kabisa ya mwaka 2001 huko ndio kule Tra ikaja Mil 4 na ushehe,hio ya 2007 lazima akune mbupu tu.
Nasubiri majibu ya mtoto wa mjini wa brevis ya mil 8.
Gari nzuri yenye injini kubwa pia gari matunzo uwe unaifanyia service kwa wakati au co bhana mm nina brevis cc 2000 iko poa tuu aisumbui wala nn tena nakula nayo luti sana barabarani Makambako kyela,Makambako Mbeya,Makambako Sumbawanga, Makambako Dar Makambako mwanza mara ya mwisho nilitoka nayo Madibira nikaenda nayo Kyela nakarudi nayo Makambako iko poa tuu kusu mafuta Kawaida kama umenunua gari lzm mafuta utanunua tu raha ya gar injini kuna kipindi nilitaka ninunue nisani ya umeme ila nikashauriwa miyeyusho nikaacha gari injini wabongo sisi tatizo wabahiri...
Nakuelewa sana[emoji1319][emoji1319]Wabongo sio wabahili ila wabongo wapenda starehe!
Mbongo anakunywa pombe kila siku 15000 kiwango cha chini,
Ila kwenye mafuta ya gari anakwambia gari inakula mafuta.
Kila kitu kina hasara na faida, cha msingi kipaumbele chako!
Maana huwezi kuwa na gari dar! Lakini ukitakwa kwenda katavi unajiuliza kama gari utarudi nayo.
Achana nakitu inaitwa GX110 au 100 mzee!
Mafuta ni mfuko wako tu.
Kama unaogopa mafuta nunua pikipiki.
Mwanzo nikajua jamaa anatania kumbe mtu yuko serious kaja na mipicha yake kabisa.......dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hlafu jamaa mkali wakati data zipo wazi
Yeye kaweka picha bila data halisi.....tumeweka data naona sasa tupo pamoja...[emoji119][emoji119][emoji119]Mwanzo nikajua jamaa anatania kumbe mtu yuko serious kaja na mipicha yake kabisa.......dah!
GX100 hata bure hutaki,kwanini? Kwa maswali yako ni wazi GX100 inakufaa.Gx100 hata bure hapana! Labda 110 japo sijajua Ina CC ngapi na kama ni 6 cylinder au 4
Hahah tena mkuu wewe ndio umeua kabisa.
Mimi nilimuwekea brevis ya kinyonge kabisa ya mwaka 2001 huko ndio kule Tra ikaja Mil 4 na ushehe,hio ya 2007 lazima akune mbupu tu.
Nasubiri majibu ya mtoto wa mjini wa brevis ya mil 8.
Xtrail ndiyo gari kichomi kuliko yote hapoKati ya:-
Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail
Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Tuwekee technical issues za hii gari, please..zitasaidi wtu wanaotaka kuzinunua..Xtrail ndiyo gari kichomi kuliko yote hapo
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]uzuri wa dunia ya sasa data zipo kiganjani...Hawezi kurudi huyo, si ndo wale wa vijiweni halafu story nyingi kama kweli vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naunga mkono hojaTuwekee technical issues za hii gari, please..zitasaidi wtu wanaotaka kuzinunua..
Pia kama umewahi kumiliki ukituwekea uzoefu itapendeza zaidi..
Gx100 siipendi mkuu! Usilazimishe hiloGX100 hata bure hutaki,kwanini? Kwa maswali yako ni wazi GX100 inakufaa.
Hapo Gari ni GX 110 hayo mengine n majini.Kati ya:-
Brevis
Verossa
Gx 110
Xtrail
Kwenye Mafuta, Vipuli na matengenezo. Kwasisi tunaohitaji kununua kwa mtu, (mkononi)
Ukichomi wake haimaanishi ni ubovu bali lipo kwenye service, hiyo gari kama pesa zako ni za mawazo usije ukajaribu kununua. Spea zake ni bei ghali kuliko Toyota, ingawa ukizinunua zinadumu hata miaka... Pia kuna vitu wakati wa kuviweka basi inahitaji umakini, kama vile hydraulic ukiweka ambayo siyo special kwa nissan jigesabie umeumia.Tuwekee technical issues za hii gari, please..zitasaidi wtu wanaotaka kuzinunua..
Pia kama umewahi kumiliki ukituwekea uzoefu itapendeza zaidi..