Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Unawaza umaarufu/statuz zinasaidia nini mbona mtoto hivyo, gari brevis hii hapa mpyaaaaa owner unaanza kumiliki wewe milion 8

Cc2490 imetembea umbali km 82272,

Jambo usilolijua unatakiwa ukae kimyaView attachment 1500291
Usituwekee picha then ukasema inauzwa milioni nane...

Labda hiyo yako ni used kutoka Manzese Japan...

Tuwekee picha ya brevis, CIF kisha screenshot kodi za hiyo gari pale TRA, nenda bandarini uangalie garama zake, tuwekee bima.....halafu tuone hiyo milioni 8 yako kama inatosha chochote..
 
Katika comments ya kipuuzi ni hii yako, unaweza kujifanya mjuaji kumbe mtupu tu, ndiyo maana mnapigwa kila siku, ngoja nikuonyeshe gari hiyo Brevis
Siku nyingine ukitaka kudanganya watu mkuu, pitia pitia data kwanza...

Hapa nimekuwekea brevis yanye cif ndogo kuliko zote kule beforward.....hapo sijagusa zile zenye FOB $1500+

Hii hapa FOB yake ni 1000+, Hapo ikiwa CIF ni maneno mengine...

Kodi ya brevis kwa sasa ni milioni 8+ pale TRA, hapo hujaweka bima..

Hebu chukua kodi ya TRA jumlisha CIF, weka Bima, bandarini kisha uandike ni wapi tunaweza kuagiza brevis iingie barabarani kwa m 8..
IMG_20200707_235923_069.jpg
View attachment 1500493
IMG_20200707_235828_609.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hlafu jamaa mkali wakati data zipo wazi
Hahah tena mkuu wewe ndio umeua kabisa.

Mimi nilimuwekea brevis ya kinyonge kabisa ya mwaka 2001 huko ndio kule Tra ikaja Mil 4 na ushehe,hio ya 2007 lazima akune mbupu tu.

Nasubiri majibu ya mtoto wa mjini wa brevis ya mil 8.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Gari nzuri yenye injini kubwa pia gari matunzo uwe unaifanyia service kwa wakati au co bhana mm nina brevis cc 2000 iko poa tuu aisumbui wala nn tena nakula nayo luti sana barabarani Makambako kyela,Makambako Mbeya,Makambako Sumbawanga, Makambako Dar Makambako mwanza mara ya mwisho nilitoka nayo Madibira nikaenda nayo Kyela nakarudi nayo Makambako iko poa tuu kusu mafuta Kawaida kama umenunua gari lzm mafuta utanunua tu raha ya gar injini kuna kipindi nilitaka ninunue nisani ya umeme ila nikashauriwa miyeyusho nikaacha gari injini wabongo sisi tatizo wabahiri...

Wabongo sio wabahili ila wabongo wapenda starehe!
Mbongo anakunywa pombe kila siku 15000 kiwango cha chini,
Ila kwenye mafuta ya gari anakwambia gari inakula mafuta.

Kila kitu kina hasara na faida, cha msingi kipaumbele chako!

Maana huwezi kuwa na gari dar! Lakini ukitakwa kwenda katavi unajiuliza kama gari utarudi nayo.

Achana nakitu inaitwa GX110 au 100 mzee!
Mafuta ni mfuko wako tu.

Kama unaogopa mafuta nunua pikipiki.
 
Nakuelewa sana[emoji1319][emoji1319]
 
Hahah tena mkuu wewe ndio umeua kabisa.

Mimi nilimuwekea brevis ya kinyonge kabisa ya mwaka 2001 huko ndio kule Tra ikaja Mil 4 na ushehe,hio ya 2007 lazima akune mbupu tu.

Nasubiri majibu ya mtoto wa mjini wa brevis ya mil 8.

Hawezi kurudi huyo, si ndo wale wa vijiweni halafu story nyingi kama kweli vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawezi kurudi huyo, si ndo wale wa vijiweni halafu story nyingi kama kweli vile [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji3][emoji3]uzuri wa dunia ya sasa data zipo kiganjani...
 
Tuwekee technical issues za hii gari, please..zitasaidi wtu wanaotaka kuzinunua..

Pia kama umewahi kumiliki ukituwekea uzoefu itapendeza zaidi..
Ukichomi wake haimaanishi ni ubovu bali lipo kwenye service, hiyo gari kama pesa zako ni za mawazo usije ukajaribu kununua. Spea zake ni bei ghali kuliko Toyota, ingawa ukizinunua zinadumu hata miaka... Pia kuna vitu wakati wa kuviweka basi inahitaji umakini, kama vile hydraulic ukiweka ambayo siyo special kwa nissan jigesabie umeumia.

Gari hii kwako utakuja kuiona nzuri na tamu zaidi ukijua kuihudumia kwa kufuata gharama zake kwa kila spea, vinginevyo utakuja kujuta ni bora hata uangalie hizo Toyota.

Uzuri wa hilo gari ni kulihudumia na hapo ndiyo kichomi kuliko yote kwenye kutoa huduma, ila ni gari nzuri sana hasa kwa wanaoenda masafa ya mbali kama likipata huduma bora
 
Back
Top Bottom