Gari ipi pasua kichwa kati ya hizi?

Kumbe sio kichomi sasa! Kichomi ni mfuko wako
 
Shukrani mkuu, umeeleweka
 
Brevis mnaiponda Basi tu,
Wengine hata kuyamiliki hawajawahi lakini ndo mabingwa wakusema vibaya.
Mbali na matumizi makubwa ya mafuta , brevis ni gari tamu Sana.
Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidi
 
Kwa matumizi ya daily mjini na foleni labda ndo wengi wanalalamika mafuta ila kama ulivosema ni gari moja unaenjoy kuendesha ...kwa safariiii unaenjoy zaidi
Duh! Brevis mchawi mafuta na vipuli sio?
 
Walimuona hajui kitu ndio maana wakamdanganya na yeye akakubali blindly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…