Gari kudondosha maji kwenye bomba la moshi

Gari kudondosha maji kwenye bomba la moshi

CH4 + 2O2 = CO2 +2H2O
Mafuta yanayounguzwa kwenye gari lako yana nature ya Methane gas CH4 kwa hiyo yakiunguzwa kwenye uwepo wa hewa na sparks or light huzalisha Carbon Dioxide na Water vapour kama equation hii hapo juu inavyoonesha.
Gari inapokuwa nzee, muunguzo wa mafuta unakuwa haukamiliki vizuri hivyo kutoweza kuzalisha maji kwa wingi na ndio maana magari mazee Ulaya hayatakiwi kwa kuwa kama gari haizalishi maji ina maana inakuwa inachafua mazingira.
The equation explains it all. CH4 + 2O2 = CO2 + 2H2O When there's complete combustion. Asante mkuu kwa kunikumbusha kidogo.
 
Mchanganyiko wa mafuta na hewa(charge) unapoungua kwenye chambers za cylinder huwa kuna mvukishaji(evaporation),ambayo matokeo yake ni kutengenezwa kwa hayo majimaji unayoyaona,injini ikiwa na joto la kutosha majimaji haya hukauka Mara tu baada ya kutolewa,au hukauka wakati yanasafiri kwenda nje ya gari kupitia bomba la moshi...
Khaaa aisee kwa jibu hili hata mtu awe kilaza namna gani lazima ataelewa tu yaaani umejibu vizuriiii sana na kwa ustaarabu mkubwa na kwa ufafanuzi wa hali ya juu sana ubarikiwe sana sana sana
 
Mchanganyiko wa mafuta na hewa(charge) unapoungua kwenye chambers za cylinder huwa kuna mvukishaji(evaporation),ambayo matokeo yake ni kutengenezwa kwa hayo majimaji unayoyaona,injini ikiwa na joto la kutosha majimaji haya hukauka Mara tu baada ya kutolewa,au hukauka wakati yanasafiri kwenda nje ya gari kupitia bomba la moshi...
Umejibu vizuri sana, pia hii huonyesha kuwa injini ya gari yako ipo vizuri sana.
 
Back
Top Bottom