Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The equation explains it all. CH4 + 2O2 = CO2 + 2H2O When there's complete combustion. Asante mkuu kwa kunikumbusha kidogo.CH4 + 2O2 = CO2 +2H2O
Mafuta yanayounguzwa kwenye gari lako yana nature ya Methane gas CH4 kwa hiyo yakiunguzwa kwenye uwepo wa hewa na sparks or light huzalisha Carbon Dioxide na Water vapour kama equation hii hapo juu inavyoonesha.
Gari inapokuwa nzee, muunguzo wa mafuta unakuwa haukamiliki vizuri hivyo kutoweza kuzalisha maji kwa wingi na ndio maana magari mazee Ulaya hayatakiwi kwa kuwa kama gari haizalishi maji ina maana inakuwa inachafua mazingira.
Khaaa aisee kwa jibu hili hata mtu awe kilaza namna gani lazima ataelewa tu yaaani umejibu vizuriiii sana na kwa ustaarabu mkubwa na kwa ufafanuzi wa hali ya juu sana ubarikiwe sana sana sanaMchanganyiko wa mafuta na hewa(charge) unapoungua kwenye chambers za cylinder huwa kuna mvukishaji(evaporation),ambayo matokeo yake ni kutengenezwa kwa hayo majimaji unayoyaona,injini ikiwa na joto la kutosha majimaji haya hukauka Mara tu baada ya kutolewa,au hukauka wakati yanasafiri kwenda nje ya gari kupitia bomba la moshi...
Hiyo pikipiki yako ni ya kihaya?Hata pikipiki yangu ninapoiwasha asubuhi hutoa maji.
Hahahah sikutegemea kukutana na jibu la hivi sijui watu huwa mnawaza niniSafi sana hata me mpenz wangu anamwaga maji asubihi
Pox
Umejibu vizuri sana, pia hii huonyesha kuwa injini ya gari yako ipo vizuri sana.Mchanganyiko wa mafuta na hewa(charge) unapoungua kwenye chambers za cylinder huwa kuna mvukishaji(evaporation),ambayo matokeo yake ni kutengenezwa kwa hayo majimaji unayoyaona,injini ikiwa na joto la kutosha majimaji haya hukauka Mara tu baada ya kutolewa,au hukauka wakati yanasafiri kwenda nje ya gari kupitia bomba la moshi...