Gari kukataa kupokea GIA ya kurudi nyuma tatizo ni nini?

Gari kukataa kupokea GIA ya kurudi nyuma tatizo ni nini?

Thegoat

Member
Joined
Jan 9, 2025
Posts
38
Reaction score
38
Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
 
Kwa nini usifanye dignosisi kwenye machine ya OBD II ili statue tatizo kamili kuliko kuhic
 
Back
Top Bottom