Thegoat Member Joined Jan 9, 2025 Posts 38 Reaction score 38 Jun 9, 2025 #1 Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
Wakuu habari .kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoelezea Nina gari yangu aina ya Wish old juzi imeanza tabia ya kugoma kurudi nyuma je wabobevu tatizo laweza kuwa ni nini?
KANYEGELO JF-Expert Member Joined Nov 12, 2019 Posts 2,304 Reaction score 5,010 Jun 9, 2025 #2 Kwa nini usifanye dignosisi kwenye machine ya OBD II ili statue tatizo kamili kuliko kuhic
Thegoat Member Joined Jan 9, 2025 Posts 38 Reaction score 38 Jun 9, 2025 Thread starter #3 KANYEGELO said: Kwa nini usifanye dignosisi kwenye machine ya OBD II ili statue tatizo kamili kuliko kuhic Click to expand... Ooooh mm sijui aiseee
KANYEGELO said: Kwa nini usifanye dignosisi kwenye machine ya OBD II ili statue tatizo kamili kuliko kuhic Click to expand... Ooooh mm sijui aiseee