mwandorobo
Member
- Jul 7, 2018
- 17
- 20
- Thread starter
-
- #41
Nadhan umefurahishwa na jibu langu na nimeleweka[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HHaKiwewe tu, nothing else
HahaaNa kwanini uvuke reli na unaona Treni inakuja? Ni uzembe tu nothing else.
Sure mkuu. Imekaa kitaalamNadhan umefurahishwa na jibu langu na nimeleweka
Na kwanini uvuke reli na unaona Treni inakuja? Ni uzembe tu nothing else.
Ni stori tu nasikia😁😁Yes nothing else
Dduuh. Huwezi kueleweka mkuuKuna kitu kitaalam kinaitwa dramafotic fraut saued ambayo kwa ufupi sana na nikitumia lugha nyepes ya watu wote kuelewa hali hiyo inatokana na malg net ya rel kua nakiwango kikubwa cha grouy soulr enarlg ambayo huvuta couk valve za maung grill gar na hapo hapo reul gaug ambazo zinakua adjust na bioj glue statir. Kwa pamoja zikivutwa zinaleta hali ya druill over inner hali hiyo hupeleka buop bumb kujaa swup bob nying kias cubiq 1/4 kipind unavuta mafuta gran test zinakua low pump na hupelekea ku over late speed nadhan nimeeleweka vyema au nifafanue zaidi
[emoji23][emoji28][emoji28]Aziz Ki,nothing else
Kuna kitu kitaalam kinaitwa dramafotic fraut saued ambayo kwa ufupi sana na nikitumia lugha nyepes ya watu wote kuelewa hali hiyo inatokana na malg net ya rel kua nakiwango kikubwa cha grouy soulr enarlg ambayo huvuta couk valve za maung grill gar na hapo hapo reul gaug ambazo zinakua adjust na bioj glue statir. Kwa pamoja zikivutwa zinaleta hali ya druill over inner hali hiyo hupeleka buop bumb kujaa swup bob nying kias cubiq 1/4 kipind unavuta mafuta gran test zinakua low pump na hupelekea ku over late speed nadhan nimeeleweka vyema au nifafanue zaidi
Fognam patamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakuelewa,hii ni bwax epestorio over fognam patamba
Unategemea. nothing elseUnapo ingiza tairi kwenye reli na wakati huo ulikuwa sehemu tambarale wengi huingia na moto usio stahili halafu unakanyaga mafuta kwa ghafla au kuachia clutch kwa ghafla unategemea nini?
Kuna kitu kitaalam kinaitwa dramafotic fraut saued ambayo kwa ufupi sana na nikitumia lugha nyepes ya watu wote kuelewa hali hiyo inatokana na malg net ya rel kua nakiwango kikubwa cha grouy soulr enarlg ambayo huvuta couk valve za maung grill gar na hapo hapo reul gaug ambazo zinakua adjust na bioj glue statir. Kwa pamoja zikivutwa zinaleta hali ya druill over inner hali hiyo hupeleka buop bumb kujaa swup bob nying kias cubiq 1/4 kipind unavuta mafuta gran test zinakua low pump na hupelekea ku over late speed nadhan nimeeleweka vyema au nifafanue zaidi
Nothing elseKuna kitu kitaalam kinaitwa dramafotic fraut saued ambayo kwa ufupi sana na nikitumia lugha nyepes ya watu wote kuelewa hali hiyo inatokana na malg net ya rel kua nakiwango kikubwa cha grouy soulr enarlg ambayo huvuta couk valve za maung grill gar na hapo hapo reul gaug ambazo zinakua adjust na bioj glue statir. Kwa pamoja zikivutwa zinaleta hali ya druill over inner hali hiyo hupeleka buop bumb kujaa swup bob nying kias cubiq 1/4 kipind unavuta mafuta gran test zinakua low pump na hupelekea ku over late speed nadhan nimeeleweka vyema au nifafanue zaidi
kwa sababu ni gar buvuNaomba kujuzwa
Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
Hii lugha gani sasa,aliyekuuzia k-vänt leo kamdai hela yakoKuna kitu kitaalam kinaitwa dramafotic fraut saued ambayo kwa ufupi sana na nikitumia lugha nyepes ya watu wote kuelewa hali hiyo inatokana na malg net ya rel kua nakiwango kikubwa cha grouy soulr enarlg ambayo huvuta couk valve za maung grill gar na hapo hapo reul gaug ambazo zinakua adjust na bioj glue statir. Kwa pamoja zikivutwa zinaleta hali ya druill over inner hali hiyo hupeleka buop bumb kujaa swup bob nying kias cubiq 1/4 kipind unavuta mafuta gran test zinakua low pump na hupelekea ku over late speed nadhan nimeeleweka vyema au nifafanue zaidi
Lugha rahis kabisa ya kitaaalm na yenye kueleweka hata kwa watu ambao hawana ujuzi wa mambo ya kiufundiHii lugha gani sasa,aliyekuuzia k-vänt leo kamdai hela yako
Ni electro magnetism. Wakati train [emoji579] inatembea inatangeneza usumakua kuzunguka reli almost distance ya 1km sasa gari imetengenezwa kwa vyuma. So ikiwa inatembea ndani ya area of magnet sumaku unashika na gari inazima.Naomba kujuzwa
Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?