Gari kuzima relini

Unaongelea trend na reli za wapiii hapa Tz au nchi za huku nilipo me mzee baba #CHINA kama za hapo kwenu Tz ni njaa za dereva tuuu Hakuna ufundi stad wala Uzumaki mzee
 
Naomba kujuzwa

Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
Mara nyingi watu hua wanaiforce gar kwa nguvu na kuifanya kua na hofu ivyo kuoelekea gar kuzima gafla so ukiwa relin don't panick relax
 
Kwa dereva mzoevu, huenda ni uchawi. Damu za watu zinatafutwa katika ulimwengu wa roho.
 
Naomba kujuzwa

Je, ni nini kinasababisha gari kukwama wakati wakati wa kuvuka reli pindi treni inapokaribia?
Magnetism theorem .. Nguvu ya uvutano wa engine ya treni ni kubwa na inatoa sumaku kubwa kuliko engine ya gari hivyo automatically huikosesha nguvu engine ndogo na kupelekea kuzima
 
Umeandika kitaalam sana muhandisi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Umeandika upuuzi mtupu nothing else.
 
Ha ha ha...
Mwalim kashasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…