Gari kuzima relini

Gari tu yenyewe inatafuta kiki kwa kugongwa na train nothing else.
 
Treni ina smaku kubwa kwenye injini mbele kabisa ambayo inaathiri mfumo wa ufanyaji kazi wa injini ya gari hasa treni ikiwq umbali wa mita mia karibia na gari basi hapo injini ya gari yako ikizima haiwaki mpaka treni ipite.Hii ni kwa ufupi ngoja nipekue Kitabu changu cha injini za treni nitakuja na thread kwa kirefu.Staytunned.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…