Gari la Chenge lagonga tena, LAUA!

Gari la Chenge lagonga tena, LAUA!



[B]Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga, Daudi Siasi alikanusha kuhusika kwa Chenge na kudai kuwa mwendesha pikipiki huyo alipinduka mwenyewe kutokana na mwendo mkali na hivyo kusababisha kifo chake.[/B][/QUOTE]

Hayo maneno yamenisikitisha sana sana sana. Yaani badala ya kuwa responsible na alichokifanya anasingizia ati marehemu amepinduka mwenyewe...........this is unbeliavable!!! Sikujua kuwa ufisadi unaweza kuondoa utu wa mtu na kuweka unyama ndani yake. Na hao polisi wanaotumika kuficha makosa ya ufisadi....... dhambi yao ni ile ile sawasawa na ya chenge na Mungu hatawaacha wapate amani kwa kudhulumu mali na maisha ya wanyonge wa TZ.
 
Kama hilo suala halimuhusu mheshimiwa, hakuhitaji kujibu kwa hasira.
 
Huko Gambosh inadaiwa ni kijiji cha misukule, usishangae kusikia maiti imetoweka!
 
Huyu mzee mzimu wa mwalimu nyerere unamtafuna.mwishoe tutaskia kajinyonga.
 
Ndio matokeo ya kudharau watu kwa kutumia vijisenti!

Na ni wananchi haohao watampa kura tena, bila hukumu yoyote!
Umasikini huu unatusumbua.
 
mhh...Tanzania yangu!kweli inauma! mwisho wa chenge utakuwa mbaya sana. maiti yake itakuja kuliwa na mbwa live!
 
Mizumu ya wale wadada wawili alioua kisa anawafuatilia kwa mbali baada ya kushindwa kuelewana walipokuwa wanachapa maraha usiku wa manane haitamwachia. Halafu anakana na tena kukana kabisa kuwa hakuwa na uhusianao na mmoja wao. Kweli ukishakuwa marehemu huna thamani. Kweli na kilio cha roho kimsute huyo Chenge a.k.a mzee wa tujisenti.
 
Mizumu ya wale wadada wawili alioua kisa anawafuatilia kwa mbali baada ya kushindwa kuelewana walipokuwa wanachapa maraha usiku wa manane haitamwachia. Halafu anakana na tena kukana kabisa kuwa hakuwa na uhusianao na mmoja wao. Kweli ukishakuwa marehemu huna thamani. Kweli na kilio cha roho kimsute huyo Chenge a.k.a mzee wa tujisenti.

Sijakuelewa Maane, kwanini awafuatilie kwa mbali? kwani walimuibia mpaka awaue?
 
Labda hiyo ndio mganga wake kamshauri - maana kule kuna gambush
 
Huu utawala wa sheria Tanzania una maana gani? Mashuhuda wameona kwa macho yao, polisi wameona kwa fikra zao (rushwa) na wanakuja publicly kusema pumba. no wonder yule jaji asishtakiwe kwa kugonga na kuua pamoja na kujeruhi dar..... UTAWALA WA SHERIA
naomba mtu anielimishe hapo
 
Mgombea huyo ubunge alihoji: ''Kwani polisi wamesameje.''

''Kama wenyewe wenye mamlaka ya kusema wameshasema, mnanipigia mimi ili iweje. Muda wangu ni muhimu sana kuliko kusikiliza umbea wenu wa magazeti, tumewachoka kuwasikiliza, muulizeni huyo aliyewatumia.''
 
'Ameua, halafu akashuka akahamia gari lingine...!' Huu ni ufidhuli kama kawaida yake, badala ya kumbeba aliyemgonga hata amuwahishe hospitali kuokoa uhai wake, yeye anaukimbia ushahidi...uhai wa kijana ukaachwa inaangamia! Ndiyo maana LAANA ya MUNGU ITAWATAFUNA TU! Ndiye aliyesema Kibajaji alichokigoga, eti ndicho kiliacha njia kikafuata gari lake...! Kodi za Watanzania anachota kupeleka account za nje, anapoulizwa anasema mnadani nini? eti Vijisenti? MWACHENI MUNGU ATENDE HUKUMU ZAKE!
 
Back
Top Bottom