kuachwa kubaya, eeh nimesikia umbeya binamu eti akina chege walimfuma zari kwa ivan yule mume wa zari mbona patamu na ndomo kashapewa umbea tayar, nasikia chakubimbi kapeleka umbea
kuachwa kubaya, eeh nimesikia umbeya binamu eti akina chege walimfuma zari kwa ivan yule mume wa zari mbona patamu na ndomo kashapewa umbea tayar, nasikia chakubimbi kapeleka umbea
Ole wake alirudishe, siku mwenye BMW akiichukua atagombania daladala na atasave namba za madereva bodaboda...Haha haaaaa,wewe una vituko ujue?
Naona kamiss ya CK....
unataka kujua kazi yangu ili iweje? mimi ni jobless masaa 24 utanikuta kwetu napiga umbea na kula kulala bure, kingine
Mtoto mzuri kama pesa...Chezea mtoto mzuri Zarinah wewe?
unataka kujua kazi yangu ili iweje? mimi ni jobless masaa 24 utanikuta kwetu napiga umbea na kula kulala bure, kingine
si nasikia anatoka n van vicker jamn au ilikuwa ni projectoo
Ole wake alirudishe, siku mwenye BMW akiichukua atagombania daladala na atasave namba za madereva bodaboda...
Mtoto mzuri kama pesa...
Alishazoea akiachana ananyang'anywa....
sasa hapo kapata cha kujishaua nacho View attachment 212477
Heheheeeerrr wakati wengine wanamchukia sisi tunaomba tuwe kama yeye tukishatotoa vitatu na siye...
Ole wake alirudishe, siku mwenye BMW akiichukua atagombania daladala na atasave namba za madereva bodaboda...
waishie na wivu wao walitaka dai awapge pmb wao!!!!
zarinah mweeh ngekua kama yeye nisingesalimia ha ha ha ndo maana sijawa
Hahaaaa,mimi ule mguu tu aisee
Kama wa Wema!
A real woman would return the car but since she is not I won't be suprised if she goes back to him she is so cheap and hopeless