Gari la Diamond Lamchefua Wema

Gari la Diamond Lamchefua Wema

kuachwa kubaya, eeh nimesikia umbeya binamu eti akina chege walimfuma zari kwa ivan yule mume wa zari mbona patamu na ndomo kashapewa umbea tayar, nasikia chakubimbi kapeleka umbea

chezea masta wewe utafukuzwa na dog
 
Heheheeeerrr wakati wengine wanamchukia sisi tunaomba tuwe kama yeye tukishatotoa vitatu na siye...

waishie na wivu wao walitaka dai awapge pmb wao!!!!
zarinah mweeh ngekua kama yeye nisingesalimia ha ha ha ndo maana sijawa
 
A real woman would return the car but since she is not I won't be suprised if she goes back to him she is so cheap and hopeless
 
Back
Top Bottom