Gari la Diamond Lamchefua Wema

hapa ndipo anaponichosha kuliko ujauzito unavyoweza kunichosha, kuna siku nilimskia eti anasema ''kigodoro cha jana kilikuwa kitamu, yani sidhani kama nitakaa nikose kwenye kigodoro''

Haki y mama angekua dada yangu ni ninge.......ni mwenyewe kwa tabia yke
 
hahahahahahaaa, sasa mimi inayonichefuaga na kama ujuavyo limao za siku hizi zimeanza kutoka fake baada ya soko lake kuongezeka kwa speed hivyo hazitulizi hichi ki hefuchefu, ni ile sauti ya kujibabisha kama jini mahaba.ptuyuuuuuuuuu!!!

Hahahaaa msupuu paula ntakununulia kiroba cha ndimu pori hiyo ndio kiboko y kichefuchefu
 
Ajajajajaaaaa,kilo moja inakaribia laki sasa!..lol

Hahahaa kwa bei y gunia mimi nauza 120,000 usafiri mpka mlangoni hata kma ni rukwa unaletewa,yani huo mpododo w zari mpka nimepiga bao kijana anafaudu
 
Maendeleo yake ni kugawa papuchi!..lol
Jana kuna picha aliiweka IG saa nane usiku, teampopo tupo macho ha ha ha sekunde tu akaitoa hata sikuiscreenshot ilikua na ujumbe wa ex....dai anamjambisha hadi basi
 
Binadamu nyie ndo mnapenda kuyakuza angekuwa ameweka zingine tena hapo sawa.

Sisi au yeye? Mbona jokate has a good Thing going on but she is not so Loud about And she is going to be the richest celebrity in Tz ni akili tu!
 
Jana kuna picha aliiweka IG saa nane usiku, teampopo tupo macho ha ha ha sekunde tu akaitoa hata sikuiscreenshot ilikua na ujumbe wa ex....dai anamjambisha hadi basi

She Needs help kwakweli lakini Acha imumee kama mwenziye Penny alivyotaabika na kudharauliwa
 
acha roho mbaya toa support kwa miss tz 2006

Ni wakati mgumuu kwa wasani kwakuwa watu hawanuni cd wanadownload au kukodisha so wasani wengi hawafaidiki na Kazi zao sio kama wakina Dämond na Show zao wanalipwaa yeye huyu dada anajulikana angeendorse cosmetics Produkts na Lifestyle products.
 
Mimi nasikia bado wanakutanaga kukumbushia enzi....
Mtalaka hatongozwi binamu,yetu macho.
Chege naye yumo eeh?

Huo uzushi tu..hivi hyo ivan sijui unataka kuniambia ni ---- to that extent!
Anagongewa live kabisa haiwezekani aiseeeee

Haya ma team yao huko insta si wanachafuana tu hakuna lolote
 
Yule bibi ana sauti nne!!kama kwaya ya ulyankuru,ukimkuta anavojibebisha kama jini mahaba utashangaa!!kuna ile ya kuongea na wanawake(ya pili),kuna ya tatu akilewa,kuna ya nne akiwa anawafanyia ukatili vijakazi!!Ni drama queen kabisaaa!!

Hahahahaaha umeua aisee...kwaya ya wapi eti?? hahahaa
 
Ni wakati mgumuu kwa wasani kwakuwa watu hawanuni cd wanadownload au kukodisha so wasani wengi hawafaidiki na Kazi zao sio kama wakina Dämond na Show zao wanalipwaa yeye huyu dada anajulikana angeendorse cosmetics Produkts na Lifestyle products.
mi nshasema huyu dada ana nyota tena kali anamashabiki yani hata akiuza yale machupi anayoyauza mbuta nanga atapata wateja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…