Sara
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 1,060
- 932
Nyumba si ya kwake alinunua so alisema
Hukupata habari mwenye nyumba alijitokeza na kuidai nyumba yake? Au mimi ndo nimepitwa na habari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba si ya kwake alinunua so alisema
unataka kujua kazi yangu ili iweje? mimi ni jobless masaa 24 utanikuta kwetu napiga umbea na kula kulala bure, kingine
Hela ya kununulia Murano Wema kaitoa wapi?
Atambeeee?? Mm angekua hata na nyumba ningemuona wa maana, Mbwembweee tu zile ile ishu ilivuja kuwa alikodii!
Hukupata habari mwenye nyumba alijitokeza na kuidai nyumba yake? Au mimi ndo nimepitwa na habari!
mi nshasema huyu dada ana nyota tena kali anamashabiki yani hata akiuza yale machupi anayoyauza mbuta nanga atapata wateja
labda mama wawili k-lyn nae kajitahidi kumaintain kimwili chake....
mbona kinyonga alikuwa kwa zari??? hapa ndio na mimi sikuelewa
sina uhakika na umri wa shemeji labda 100 ha ha hahivi mengi ana miaka mingapi?
masponsor anao sema hajielewiHajapataaa sponsor mzurii
Wewe ni petit man?mtoa uzi yuko sahihi, alinunua na kumpigia simu diamond akiwa nje atume posts on social media ili ionekane kamnunulia manake kipindi hicho watu walikuwa wanaseme jamaa anamtumia hamsaidii lolote
huo ndio ukweli and by the way Diamond ndiye alikuwa anakula hela za wema haswa kununuliwa viatu na nguo
sio mimi lakini ukweli ni huo,diamond ni mbahili first class,ana deal na mama yake tu,namsapoti kwa hilo,kamla wema hela nyingi sana...Wewe ni petit man?