Gari la Diamond Lamchefua Wema

Gari la Diamond Lamchefua Wema

Jamani ehee lile gari Wema alijinunulia
Then Diamond akatajwa ili aonekane kamzawadia Wema..hawa Jamaa Kwa sifa ni kiboko sasa hivi utaskia Wamerudiana tena
 
Mmh. YA kweli haya? Inamaana mama diamond amehusika kwenye igizo?
 
Hela ya kununulia Murano Wema kaitoa wapi?
 
Kweli Kazi ya upaparazi ngumu, kasikia Wema anaongea akadakia yeye kumuuliza sasa huyu paparazi alikua ndani au nje ya nyumba?
 
Atambeeee?? Mm angekua hata na nyumba ningemuona wa maana, Mbwembweee tu zile ile ishu ilivuja kuwa alikodii!

Duh kumbe mwenzangu na Mie atuchekani nikaamua kununua kibeby Walker changu ist na kiwanjaa ili nijenge kibandaa changu Cha room mbili
 
Hukupata habari mwenye nyumba alijitokeza na kuidai nyumba yake? Au mimi ndo nimepitwa na habari!

Nilikuwa sijui kwahiyo mwenye nyumba amekubali nyumba itokeee kwenye Reality tv;ila naona kama anao uwezo wa kununua ile nyumba
 
Wewe ni Wema,mama Diamond,Martin Kadinda au Halima Kimwana???
Maana za ndani kama hizi lazima utakua mmoja wao.
 
mtoa uzi yuko sahihi, alinunua na kumpigia simu diamond akiwa nje atume posts on social media ili ionekane kamnunulia manake kipindi hicho watu walikuwa wanaseme jamaa anamtumia hamsaidii lolote
huo ndio ukweli and by the way Diamond ndiye alikuwa anakula hela za wema haswa kununuliwa viatu na nguo
 
Wewe ni petit man?
 
Back
Top Bottom