Gari la Diamond Lamchefua Wema


Asanteeee kama ni kweli mondi ni tatizo
 
na hiyo murrano na bmw kahongwa na lile zee la TRA ambalo linataka kumfungulia duka la vipodozi na mini supermarket

hela za wadanganyika hizo zinachezewa

Hilo zee la TRA lazma litakuwa mume wa mtu maskini unaweza kuta mkewe anapandaa basi wanaume hawa si watu
 
Jamani chibu mwenyewe aliongea wema aliuza gari lake la pink na yeye akaongeza pesa kidogo sasa si mali ya wote
 
Asipofunguliwa hivyo vingine we utakuwa muhongo
katoka china juzi kununua vitu vya boutique , hilo zee pia lilimpia kwenda ghana kucheza movie na van vicker akiwa na petit man ambaye huwa anamla kishikaji
 
Jamani ehee lile gari Wema alijinunulia
Then Diamond akatajwa ili aonekane kamzawadia Wema..hawa Jamaa Kwa sifa ni kiboko sasa hivi utaskia Wamerudiana tena

ile bmw ndo kajinunulia muranno katoa huyo diamond
 
katoka china juzi kununua vitu vya boutique , hilo zee pia lilimpia kwenda ghana kucheza movie na van vicker akiwa na petit man ambaye huwa anamla kishikaji

Duu unaonesha unamfahamu madam kuliko tunavyofikiria !
 
ile bmw ndo kajinunulia muranno katoa huyo diamond
kama unaamini hivyo basi amini hata ile nyumba aliyopangishiwa na CK aliinunua kwa milioni 400 kama alivyosema clouds tv.
 
kama unaamini hivyo basi amini hata ile nyumba aliyopangishiwa na CK aliinunua kwa milioni 400 kama alivyosema clouds tv.

Of all the places in dar mtu ukatoe mil 400 kununua nyumba uswahilini? So bora Angenunua flat upanga mmh I don't blv it sorry unless ni one of the houses Za huyo pegejee
 
hivi unafanya kazi gani inayokuingizia kipato

Kuna siku alikua anasifia mashoga kuwa wanalipwa vizuri na wanaishi maisha mazuri... toka siku ile wenye akili zetu wala hatujisumbui kujua kazi anayofanya warumi!
 
alafuuu naomba kuuliza kwa wanaomjua biubaya vizuri, hivi huyu bidada anasauti ngapi??? alikwisha bahatika kuskia sauti yake natural atanielewa, hii sauti anayoongelea kwenye media ni 100% made, fake fakizoni.

Hahahaa kuna siku sudi alimzingua mbona alitoa lisauti lake, ana kibase uwiiii
 
Upumbavu tu, igeuze ambulance.. tuwa saidie mama zetu wajawazito...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…