brenda18
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 5,687
- 5,287
mtoa uzi yuko sahihi, alinunua na kumpigia simu diamond akiwa nje atume posts on social media ili ionekane kamnunulia manake kipindi hicho watu walikuwa wanaseme jamaa anamtumia hamsaidii lolote
huo ndio ukweli and by the way Diamond ndiye alikuwa anakula hela za wema haswa kununuliwa viatu na nguo
Asanteeee kama ni kweli mondi ni tatizo