Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

usiku wa Zuchu pale mlimani city walitumia gari hilo. Na kwakuwa ww ni jirani yake basi nikushauri uende kwa Jirani yako Naseeb kuuliza shida nini mbona gari silioni mtaani?
 
Wewe ulisema ujawahi kumuona diamond anaendesha Hilo gari jamaa joseph1989 kakupa na ushahidi bado unapinga na kuanza kumshambulia sasa hapo mwenye tatizo ni wewe au yeye?
 
Reactions: Qwy
Uliona linatembea Wapi lile gari tokea limeonyeshwa lipo mjini!!!..Au wanalifanyia Mpango wafunge Engine ya Crown maana hapa nchini kuna wataalamu wa Kazi hizi sio wa kawaida!!..
Nenda kaone mama Dangote akitumia ndiga hilo. Muda mwingine muachage wivu wa kishamba. Eti nasikia lipo south Africa,na hii ilikua Jana tu shet.
 
Kweli kabisa ndo maana gari aina hiyo hapa bongo zimejaa kila kona mpk kero .
 
Reactions: Qwy
Haters and witches are one and the same, hivyo mnavyowaumbua haters ndiyo wanazidisha chuki nadhani hata tunguli wanashika ili wanayemuonea wivu na kumchukia aharibikiwe, huwa kuna msemo wa 'mchawi hana sababu' hivyo hao haters ujue familia zao ni za kichawi huwa wanawangia majirani zao hasa wale waliowazidi kimafanikio. Mtu mwenye wivu na chuki ni hatari sana, anaweza hata kukuwekea sumu kwenye chakula akibaini anavyokuroga hauharibikiwi.
These haters are sickening[emoji2961][emoji2961]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…