Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Umekuja tena!!.. Magari haha tuna nunua kwaajili ya kurahisisha shughuli zetu (usafiri) sasa kuna ambao tunajua wananunua magari kuonyesha ufahari yes ni malimbukeni ndio maana linapokufa au likiwa bavu tuna wacheka sana!!.. Anyway nasikia gari lipo south Africa!!..
usiku wa Zuchu pale mlimani city walitumia gari hilo. Na kwakuwa ww ni jirani yake basi nikushauri uende kwa Jirani yako Naseeb kuuliza shida nini mbona gari silioni mtaani?
 
Umasikini ni Mzigo mkubwa look at you unashabikia magari ya wenzako huku unadhani tunaotaka kujua ni malimbukeni kama wewe!!..Mzee umeenda Hadi Instagram huko asee kweli wanaume wambea kuliko Wanawake Zama hizi!!..Mama kasema vitu vita panda bei maradufu!!..au mwenzetu kusifia wanaumu wenzako ndio ujira!!!
Wewe ulisema ujawahi kumuona diamond anaendesha Hilo gari jamaa joseph1989 kakupa na ushahidi bado unapinga na kuanza kumshambulia sasa hapo mwenye tatizo ni wewe au yeye?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Uliona linatembea Wapi lile gari tokea limeonyeshwa lipo mjini!!!..Au wanalifanyia Mpango wafunge Engine ya Crown maana hapa nchini kuna wataalamu wa Kazi hizi sio wa kawaida!!..

Nenda kaone mama Dangote akitumia ndiga hilo. Muda mwingine muachage wivu wa kishamba. Eti nasikia lipo south Africa,na hii ilikua Jana tu shet.
 
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.


Kweli kabisa ndo maana gari aina hiyo hapa bongo zimejaa kila kona mpk kero .
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Haters and witches are one and the same, hivyo mnavyowaumbua haters ndiyo wanazidisha chuki nadhani hata tunguli wanashika ili wanayemuonea wivu na kumchukia aharibikiwe, huwa kuna msemo wa 'mchawi hana sababu' hivyo hao haters ujue familia zao ni za kichawi huwa wanawangia majirani zao hasa wale waliowazidi kimafanikio. Mtu mwenye wivu na chuki ni hatari sana, anaweza hata kukuwekea sumu kwenye chakula akibaini anavyokuroga hauharibikiwi.
These haters are sickening[emoji2961][emoji2961]
 
Back
Top Bottom