Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Unamechanganya madesa, wapi Diamond kaonyesha Rolls Royce Ghost.....πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Diamond alikuwa na dream tokea 2016 na aliongea kwenye kipindi cha Millard Ayo na hakufanya kumkomoa mtu bali ni sehemu ya ndoto zake.

Halafu huwezi mzuia mtu kutumia hela yake ili atimize ndoto zake na HUWEZI MZUIA MTU ALIYEAMUA KUKUCHUKIA .
 
Why wasanii wa kiafrika/Black amerika wengi wanapenda kujionyesha/kujifaharisha! Mtu ananunua gari la bei gali and others wanaiga mfano imekuwa ushindani flani ana bonge la gari, hamuoni kuwa ni ushamba tu! Ana nunua gari la milioni 200 wakati iyo hela anaweza akawekeza mradi mkubwa. White people hawako ivyo na ushamba ushamba.
 
Hahhahahaa, aya ebu tupe uhalisia wake basi mkuu, pengine unaweza kukuta iyo RR ni milioni 13 namimi nikanunue ya kwangu

Miaka zaidi ya mitano nyuma uyu domo aliwahi kusema gari ya ndoto yake ni RR na anatamani siku moja aimiliki...uwingi wa magari haukuzuii kutimiza ndoto zako za muda mrefu pale utakapokua na uwezo wa kuzitimiza...jamaa amefanikiwa kutimiza moja ya ndoto zake...anastahili pongezi kwakweli

Na kama unaishi bila ya kuwa na ndoto zako binafsi kamwe hauwezi ukanielewa nnachokisema.
 
kwanza yake ni rolls Royce Cullinan 2021 na siyo ghost.
 
Jamaa yuko determined sana. Kila anachotaka anakifanikisha
Kiufupi anaishi ndoto zake.

Bado ndege atainunua hata Cessna Caravan 208 hii mpya ni kama 3bil used hata dollar 300K
 
Mkuu mbona mishipa shingoni ya nini?
 
Kwa akili hizi zenu bora Mwigulu na Samia waitishe tena bunge wapandishe kodi iwe mara 100 kabisa
 
Wewe, mwijaku, kimambi, hbaba na genge lenu mlibwa muende kwenye social media zake? Au aliwafata mziongelee?
 
Nimewahi kumsikiliza yule kijana miaka ya nyuma alieleza kuwa moja ya ndoto zake ni kumiliki RR.

Kwann unafikiri kwamba anawajibu wasiompenda na si kutimiza ndoto zake?
 
Diamond alikuwa na dream tokea 2016 na aliongea kwenye kipindi cha Millard Ayo na hakufanya kumkomoa mtu bali ni sehemu ya ndoto zake.

Halafu huwezi mzuia mtu kutumia hela yake ili atimize ndoto zake na HUWEZI MZUIA MTU ALIYEAMUA KUKUCHUKIA .
Nafikiri kuna namna hawa vijana wanatengeneza kipato kupitia kumzungumzia huyu diamomd.
 
Nunua na
Gari ya 0 km inakuwaga na tairi chakavu? Umeona tairi za ile gari?

Jamaa hata akinunua kitu cha Sh Millioni moja, lazima aongeze sifuri mbili. Halafu anajifanya hamnazo na hawajui wa Tanzania kwa kushushua waongo.
Hata akisema kanunua bilioni kumi ina madhara gani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…