Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

Linaonekana tu maana ni chafu
 
kama bei rahisi nioneshe watu waliyonayo bongo///hahahaha stop haitin
 
Tecno ilopasuka jamank
 
Na wewe kanunue lako usitupigie kelele,watu tuna maumivu na kodi ya miamala wewe unaleta mambo ya gari? Nenda face book kawaambie
Yaani nasoma nyuzi guku nacheka kwa hili ji u hahahahhhh
 
Yaani mimi namuonea wivu Diamond hadi huwa namuwazia tu kuwa huyu dogo yupo ndani ya genge la Illuminti...yaani dogo huyu domo kunawatu walio juu yake wanampa na kumuwezesha maujuzi na utaalamu wa muziki wenye enslave humanity.
Yaani tunasema mtumikie Lucifer ku enslave your own humanity naye anaku award by Power, Fame, and Money
 
Pesa anayo lakini ni mshamba anafanya mambo kwa mihemko kuwaridhisha raia

Vingine hata havikuwa kwenye plan yake lakini presha kutoka kwa watu

na uwongo ndiyo unawapa watu maneno ya kusema

Okm inakuwaga kwenye maganda kuna baadhi ya parties zinakuwa zimefunikwa kwa mbwembwe za hao jamaa lazima wangetuonyesha wakimenya maganda

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Loser comment. Shida ya umasikini ndio hii ukishindwa kutafuta pesa usitafute sababu za kujifariji kwanini wengine wamefanikiwa. Hakuna hela za uchawi wewe komaa, acha chuki na ujifunze kwa waliotoboa na wewe utafanikiwa
 
Na bado zinaweza zote kuwa Alphard za mwaka mmoja na bei zikatofuatina kutokana na edition
 
Tyre sio used wame edit, angalia video ya ile gari ndio utajua wamechezea kale ka picha
 
Mkuu na wewe unashikwa kichwa kirahisi hivyo, ile picha wameichezea. Tyre zote kashata mpya kama ungeona video, na sio hako kapicha waliko kachezea
Mkuu nimefollow akaunti zote za wcb ,familia nzima ya diamond,don fumbwe kwahiyo hadi gari inatoka kwenye kontena nimeona.ni gali kali,ila tairi zimenitia shaka kama ni 0 km.
 
Mkuu nimefollow akaunti zote za wcb ,familia nzima ya diamond,don fumbwe kwahiyo hadi gari inatoka kwenye kontena nimeona.ni gali kali,ila tairi zimenitia shaka kama ni 0 km.
Mie nimeangalia vizuri sana, ile picture wamw chezea, ile tyre pale imekanyaga vumbi, wamecheza nayo pale pale, ngoja nipige screenshort niweke uone mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…