Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

Gari la kusafisha pikipiki kutoka Dodoma Hadi Ngara Kagera.

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
880
Reaction score
907
Nahitaji usafiri wa gar kwa ajili ya kusafirisha pikipiki kutoka Dodoma kwenda Ngara - Kagera.
 
Aina ya pikipiki tafadhali?
 
Dodoma hadi Ngara mbona ni mbali sana, hiyo pikipiki si bora uiuze tu ununue nyingine kule? It save costs!
 
Back
Top Bottom