Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Tochi zipo nyingi sana...Juzi super feo imekula vichwa Vinne ,hizi ajali mbona zinarudi kwa kasi? tochi hakuna? Trafiki police hakuna?
Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tochi zipo nyingi sana...Juzi super feo imekula vichwa Vinne ,hizi ajali mbona zinarudi kwa kasi? tochi hakuna? Trafiki police hakuna?
Tochi zipo Kwa private car Tu Ila Kwa Mabus wanagonga Gia Tu hawana cha speed 50 ni mwendo wa speed 80 kila mahali....Juzi super feo imekula vichwa Vinne ,hizi ajali mbona zinarudi kwa kasi? tochi hakuna? Trafiki police hakuna?
Kwamba toka 2016 ajali hazijatokea?Juzi super feo imekula vichwa Vinne ,hizi ajali mbona zinarudi kwa kasi? tochi hakuna? Trafiki police hakuna?
Pole kwa wahanga wa tukio. Mungu awape nguvu wapendwa wetu.Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha kuacha barabara na kisha kugonga gema na kupinduka.
Kamanda wa Polisi Babati mkoani Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio.
View attachment 1738884
Mtapata majibu tu na bado.Juzi super feo imekula vichwa Vinne ,hizi ajali mbona zinarudi kwa kasi? tochi hakuna? Trafiki police hakuna?
Hatimaye uhuru wa habari umeanza kurejea
Ajali zilikuwa zinaishia juu kwa juu
.Juzi super feo imekula vichwa Vinne ,hizi ajali mbona zinarudi kwa kasi? tochi hakuna? Trafiki police hakuna?
Mtanikumbuka kwa mazur sio kwa mabaya.Naona hizi ajari kuna mtu alikua kazifungia ndani kipindi cha Magu sasa kaondoka mbabe nae kafungulia Watanzania tumwombe Mungu.
Yes ila pia nilisikia za chini chin kuna kampuni zinahonga habari zake zisiwekws hadharaniJamaa walifika pabaya sana mpaka askari trafiki walikuwa wana corude na wenye mabasi kuficha ukweli wa ajali.
Kama afande Muhidini hivi karibuni alikataa kabisa kutaja jina la kampuni ya mabasi ilopata ajari maeneo ya mbezi kimara Dar es salaam.
Alikuwa anahojiwa redio one asubuhi bila aibu alikiri kutokea kwa ajali lakini alipotakiwa kutaja jina la kampuni ya basi alikataa kabisa .
Inashangaza sana.
Unaweza kujiuliza Huyu askari kwanini hakutaka kutaja jina la kampuni?
Wananchi tunahaki ya kupata taarifa sahihi.
What if kampuni hiyo hiyo huwa inajirudia ajali haoni inaweza saidia mwananchi kuepuka kupanda mabasi ya kampuni hiyo?
Huyu askari alishangaza wengi sana na kuwaacha kwenye maswali mengi.
Kwamba alikuwa anakataa kutaja jina la kampuni ya basi lilipata ajali kwa manufaa ya nani?
Sawa huyu ametokea SongeaDar-Tunduma Mkuu!