Gari la Machame Investment limepinduka laua 6 na wengine 19 wamejeruhiwa

Gari la Machame Investment limepinduka laua 6 na wengine 19 wamejeruhiwa

Yes ila pia nilisikia za chini chin kuna kampuni zinahonga habari zake zisiwekws hadharani

Most likely!

Sasa askari kama yule ni rahisi mtu akazani huenda ameshikishwa kitu cha kufunga mdomo labda kumbe wakati mwingine wala.

Nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 2000 abudi basi ilipataga ajali mbaya sana na vifo, ikasemekana gazeti la Alasiri wakati ule ambalo liliandika kuhusu hiyo ajali Eti jamaa waliwahi kuyanunua magazeti yote ili wananchi wasipate kujua ukweli.
Ilisikitisha sana!
 
Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha kuacha barabara na kisha kugonga gema na kupinduka. Kamanda wa Polisi Babati mkoani Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio.

Hivi kwa nini makamanda wa polisi huwa wanakuwaga na mjina ya ajabu ajabu[emoji2]
 
Kanuni za ulimwengu wa roho: Anapokufa mtu maarufu katika jamii kunakuwepo wa kumsindikiza. Mi nilisikiaga tu hiyo story,wataalam wa haya wanaweza kuelezea kama kweli au la.
 
Uwezo wetu wa kufikiri bado uko chini sana. Sijui ni mfumo wa elimu au lishe au nini sijui kwa kweli
 
Watu 6 wamefariki dunia huku wengine 19 wakijeruhiwa baada ya basi la Machame Investment walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Arusha kuacha barabara na kisha kugonga gema na kupinduka. Kamanda wa Polisi Babati mkoani Manyara Paul Kasabago amethibitisha kutokea kwa tukio.

Mungu awatangulie na awajaze nguvu ndugu wote wa waliopata ajaliiiii aamiin
 
Back
Top Bottom