Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Ndo maana kipindi cha uchaguzi watu wanatoana roho, wanakimbilia mjengoni ili kuficha madudu yao ya biashara haramu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mbunge wa jimbo gani mkuuHuyo mbunge wa ccm ndiyo biashara zake.anajihusisha na hiyo biashara toka 2022 na Huwa anakamatwa na anaachiwa Kwa kigezo Cha kulinda heshima yake.hata Sasa hao uhamiaji lazima watakanusha tu.tumechoka kuongozwa na wahuni Kama hawa
Mtoa taarifa tu ana makosa kwanini afiche jina la huyo Mbunge?Hapo njiapanda ya Himo imezungukwa na wabunge wa Kilimanjarona na Tanga!!!!
Je, ni mbunge jimbo gani kati ya haya?
1. Rombo
2. Vunjo
3. Marangu
4. Mwanga
5. Same
6. Korogwe
6. Lushoto
7. Bumbuli
8.Handeni
9. Muheza
10. Moshi vijijini
11. Moshi mjini
Au ni mbunge wa mpakani na Zambia?
1. Tunduma
2. Katavi
3. Mbeya
4. Songwe
5. Ileje
Tutashangaa endapo hilo gari halitataifishwa na mmiliki kmuwajibishwa kwa kosa la 'Human Trafficking'
*Tuna viongozi walafi sana, tunawalipa mishahara, posho nk lakini bado wanahujumu uchumi wa nchi kwa kufanya biashara zisizo halali
Hawezi kuwa na michongo hiyoLisijekuwa la babu tale😁
#kidding#
Nashangaa wanavyowabana kupita hapaWawaache Wa Ethiopia waende SA hapa wanapita tu hawana madhara yeyote mtakamatana wakati hao wana Kijiji SA hapo Johannesburg wameigeuza Addis Ababa hawana mpango wowote na Tanzania na usumbufu wanapata hapa na wengine wanakufa kwa kesi ya Kijinga tu hiyo Nchi zingine za SADC wanapita bila usumbufu kama uliopo hapa..Wachina Wamejaa kariakoo nao ni Machinga mpo busy na Waafrika wenzenu...
Upo sahihi kabisa hawana mpango kabisa na Nchi yetu..Turekebishe sheria.
Hao sio wahamiaj haramu , Hai wanaenda South , hapa wanapiga tu
Utashangaa pana watu wachache wanafanya hilo dili wao ndio wanawatumia wabunge kutunga sheria ngumu ili waendelee kutoa pesa wakati watu wenyewe hawana madhara yeyote hapa ni kama vile sisi hatusafiri Nchi za wenzetu..Nashangaa wanavyowabana kupita hapa
Ova
Nasikia hata Zungu lilikuwa zungu la poda kweli fisiemu hawana adabuKuna jamaa fulani wawili kabla ya kuingiaga kuwa wabunge wao biashara za ilikuwa magendo,washapitisha sana magendo huko mipakani na wakatengeneza sana hela
Badaye wakaingia kwenye siasa,wakawa wabunge...tena huko ccm ,sasa watu aina hiyo wakiwepo unategemea nini(ila naona sahv bungeni hawapo sijui wmetemwa)
Ova
Ukiwa CCM Ni UntouchableKesi imeisha hiyo.