Gari la Mbunge ladaiwa kubeba wahamiaji haramu Mkoani Kilimanjaro

Ila mambo ya pongezi ya miradi ya umma ziende kwa MTU mmoja
yale yayofanyika kwa niaba ya taifa na kwa maslahi mapana ya nchi....

na hayafanywi na watu zaidi ya moja, Mkuu wa nchi ni moja na anafanya kazi vizuri sana kwaajili ya maaendeleo ya nchi :whatBlink:
 
Sawa,ila kuna watu wengi wako huko kwenye nafasi za kiasiasa
Kama ubunge,ila ndy watu wa magumashi,wamejificha tu huko

Ova
si umeona hata lisu na msigwa wamelia sana, tena kwa sauti ya juu sana kwa rafu za uchaguzi?

moyo wa mtu ni kichaka na sio rahisi kuona mwenzio anawaza au kupanga nini juu ya maisha yake kupitia vitu alivyonanvyo kama magari yake binafsi n.k :DisGonBGud:
 
Nnachoipendea tz hata uwe na criminal record bado unaweza ukawa mtu fulani na nyadhifa ukashika
Na mtaani ukaonekana shujaa

mbaya zaidi ni kurudia kosa,

binadamu kufanya mistakes kwa bahati mbaya, kwa tamaa na makusudi, kwa kujua au kutokujua ni kawaida. Ila kurudia kosa ndio tatizo kubwa zaiid :DisGonBGud:
 
Watu wanaficha madudu yao

Ova
 
mbaya zaidi ni kurudia kosa,

binadamu kufanya mistakes kwa bahati mbaya, kwa tamaa na makusudi, kwa kujua au kutokujua ni kawaida. Ila kurudia kosa ndio tatizo kubwa zaiid :DisGonBGud:
Unataka kusema mmiliki wa gari/mbunge haujuwi huo mchongo kweli 😄
Dereva alikuwa anamzunguka nn

Ova
 
mbaya zaidi ni kurudia kosa,

binadamu kufanya mistakes kwa bahati mbaya, kwa tamaa na makusudi, kwa kujua au kutokujua ni kawaida. Ila kurudia kosa ndio tatizo kubwa zaiid :DisGonBGud:
Ukisha kuwa unajihusisha na magumashi kuacha ni ngumu
Sana sana utamuweka mtu awe anakushikia kazi zako hizo,we unakaa pembeni
Dunia uwanja wa fujo bana

Ova
 
Unajua mtu anaweza kuwa ni jambazi wa magari ila ukatokea ujambazi kwenye benki akaambiwa ni yeye 😄
Mimi navyojuwa,ukisha kuwa mtu wa magumashi always utakuwa mtu wa magumashi,kuacha ni ngumu
Yaani mnataka kusema mmiliki wa gari hajuwi lolote kuhusu huyo dereva wake au labda tuseme ndy ilikuwa dili lake la kwanza

Ova
 
Back
Top Bottom