Gari la Mbunge ladaiwa kubeba wahamiaji haramu Mkoani Kilimanjaro

Huyo mbunge wa ccm ndiyo biashara zake.anajihusisha na hiyo biashara toka 2022 na Huwa anakamatwa na anaachiwa Kwa kigezo Cha kulinda heshima yake.hata Sasa hao uhamiaji lazima watakanusha tu.tumechoka kuongozwa na wahuni Kama hawa
Ni mbunge wa jimbo gani mkuu
 
Mtoa taarifa tu ana makosa kwanini afiche jina la huyo Mbunge?
 
Hiu uzi wadau wanaupitia kwa kasi ya ajabu ili tu walione hilo jina la Mbunge! Ila ndiyo hivyo tena. Kiza kinene kimetawala.
 
Wawaache Wa Ethiopia waende SA hapa wanapita tu hawana madhara yeyote mtakamatana wakati hao wana Kijiji SA hapo Johannesburg wameigeuza Addis Ababa hawana mpango wowote na Tanzania na usumbufu wanapata hapa na wengine wanakufa kwa kesi ya Kijinga tu hiyo Nchi zingine za SADC wanapita bila usumbufu kama uliopo hapa..Wachina Wamejaa kariakoo nao ni Machinga mpo busy na Waafrika wenzenu...
 
Nashangaa wanavyowabana kupita hapa

Ova
 
Ndiyo maana tunasema nchi hii haina msafi kuanzia top leader hadi mtendaji wa kijiji
 
Nasikia hata Zungu lilikuwa zungu la poda kweli fisiemu hawana adabu
 
Kwani hao wa Ethiopia huwa Wana hela nyingi za kuweza kumshawishi mbunge awavushe,au Wana masponser!! Maana ukiwaona wenyewe wamejichokea Tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…