Labda Bahasha za Lumumba zimechelewa?Kuna muda nawaza tu kama kuna mtu ameingilia mfumo wa mawasiliano yako, au!! Maana kama siamini hivi!! Kuanzia jana na leo umekuwa ukiuliza maswali ya kufikirisha sana.
Kama yeye hakuwepo hausiki aliyekuwepo anahusikaGari lake limefikaje Kwa wasafirishaji haramu? Au aliwaazima bila kujua wanachoenda kufanyia?
Ufisadi hauwezi kukomeshwa na rais fisadi.Hayo yalifanyika awamu ya nani?
Kwenye mada hapo Juu Samia Yuko wapi au ametajwa wapi?
Ni mali ya Mbunge au mali ya Serikali ?Mbali na kutaifishwa kwa magari hayo kuwa mali ya Serikali ya Tanzania, mahakama zimewahukumu wahamiaji hao kulipa faini ya Sh500,000 kila mmoja au kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela.
Angekuwa siyo wa ccm ungeshamjuwa kitambo tu.Mbunge yupi huyo?
Anajizima data kama vile haijui hii nchi ilivyo.Wewe si kila siku unasifia CCM humu, unashangaa huo uozo?
Sema tu, tanzania hii ukiwa na pesa hufungwi kwa kosa lolote na jina lako linakuwa top secret.Hata Mimi nashangaa kama wewe
Ufisadi upi ambao Jiwe alipambana nao? Umewahi sikia ripoti ya CAG ikiwa nzuri awamu ya Jiwe?Ufisadi hauwezi kukomeshwa na rais fisadi.
Ufisadi uliopo sasa Samia hawezi kuukomesha kwa sababu hata yeye ni fisadi mkubwa.
Ikiwa upo serious kumlaumu jiwe ambaye alithubutu kupambana na mafisadi basi u uzao wa mafisadi
Si angetajwa hata kutajwa tuKisheria siyo rahisi kuthibitisha uharifu wa Mbunge kwenye issue hiyo.
Gari lake ndilo lenye uharifu hata likatiwa hatiani.
Kumiliki gari siyo kosa.
Unaweza kumpa mtu gari kwa nia njema yeye akalitumia kufanya uovu.
Hebu peleka wehu wako huko. Hilo gari kutaifisha nisawa na kutoa hela mfuko wa shati uweke mfuko wa suruali.Hata Mimi nashangaa kama wewe
Yes. Subiri kwanza kauli/action ya Samia. Sio kila mCCM ni wa kusemwa.Wapi nimesifu ccm tofauti na Samia?
Pili ukisifu ccm ndio inatakiwa kwenye makosa wasisemwe au?