Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

Yaani mmesaka visingizio vya kuwabambikia kesi chadema mmekosa sasa mmeamua kuchoma Gari yenu kwa makusudi ili mpate kisingizio cha kuwabambikia kesi kwa njia haramu za kishetani
 
Wewe Bashite mfoji vyeti na muuaji ni mtu hatari sana na mpumbavu mkubwa. Sasa mmeanza kuchoma moto magari yenu ili muibambikie kesi Chadema.
Songwe wameona chadema ipo imara ndipo wameamua kuchoma hiyo gari wapate kisingizio cha kuwabambikia kesi chadema
 
Nilijiuliza kwanini Camera ziliondolewa?

Wahalifu waliwezaje kupenya kwenye eneo linalolindwa kwa CCTV camera bila kukamatwa hadi leo?

Au wewe mwenzangu ulijiuliza maswali gani?


Ni ndogo hayo niliyojiuliza kwenye tukio lile,Je wewe?
siku za mwizi ni 40. walifanya mbinu zote wakasahau kuondoa camera
 
Serikali haijaufyata gaidi yupo nyuma ya nondo mpaka atakapomleta dereva wa Lisu.
Ugaidi upi? Ugaidi wa kutengeneza huo ugaidi feki umeamua kuusambaza kwenda Songwe sasa, acha roho mbaya walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha mabutu Elibashiri idd Amin dada Sadam Hussein Gadafi na wenzao wapi leo? hiyo roho mbaya yako itakupeleka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…