Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kumekua na maswali mengi sana, kuhusu gari la mchango la makamu mwenyekuti wa chadema, kwamba gari hilo la mchango ni kwaajili ya matumizi na kazi za chama au kazi zake binafsi? ni vema chimbuko la jambo hili likawekwa bayana vizuri wengi hawaelewe vizuri.
Na kwamba wachangiaji wa gari wajiandae pia kuchangia mafuta kwa ajili ya gari hilo, au mafuta itakua ni garama za chama au alie changiwa?
Lakini pia kumeonekana mgomo na mgawanyiko kwa baadhi ya wanachama wa chadema. miongoni mwao wamekubali kuchangia na kuhamasisha webgine kuchangia zaidi, lakini baadhi yao pia wakigomea zoezi hilo huku wakipiga vita zoezi hilo chini kwa chini, huku wakikemea tabia hiyo, kwamba sio mazoea mazuri....
Wengine wameenda mbali zaidi kuhoji na kutaka kujua, kama hatua hii ya makamu mwenyekiti ya kuomba kuchangiwa gari kwa mgongo wa chama, ina baraka za kamati kuu ama laa?
Haitoshi, kuna wanao ona hatua hii ya makamu mwenyekiti chadema, kuomba kuchangiwa gari, ni dalili kwamba chadema kwa sasa hakuna utaratibu wa kufanya mambo, na kwamba kiongozi yeyote mwandamizi anawezea kuamua kufanya chochote kwa platfom ya chama, bila ridhaa ya chama kwa manufaa yake binafsi atakavyo ama laa?
Wapo wanao hoji kwamba, hivi ni kweli makamu mwenyekiti aliomba gari kamati kuu wakashindwa kumpatia, na kumshauri atumie njia ya kuomba achabgiwe na umma?
Wanaendelea kuhoji kwamba hii sio exit signal kwa makamu mwenyekiti kuondoka chadema na kundi amabalo wamekubali kumchangia?
Wengine wanaona ni kama kuna fukuto la chini kwa chini baina ya mwenyekiti na makamu mwenyekiti taifa kwamba they don't see each other eye to eye. wanaoneana aibu tu kwa sasa, wanaviziana, kila moja akisubiri mwenzake across au abreak the line kiwake.
Haijabainika sababu hasa ya msingi ya kutofautiana kwao, but there is something fishy amaong them....
Kwa ujumla chadema inafaa, kuchukua hatua za makusudi, kujitokeza hadharani mapema tu kadiri itakavyoonekana inafaa, na kuelezea kwa kina mambo haya amabayo yanayoweza kuonekana madogo kwasasa, lakini yenye athari na madhara makubwa sana baadae kwenye ustawi na afya ya taasisi yao...
Sio kwa ubaya lakini, jitokezeni, wekeni sawa sintofahamu hii ya kisiasa bila kuchelewa, waondoeni mihemko, hofu na moyo wa kukata tamaa makamanda wa chadema kwa maslahi mapana ya chadema, na ustawi wa demokrasia Tanzania