Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

Gari la mchango la makamu Mwenyekiti CHADEMA

Umeandika..Wapo wanao hoji kwamba, hivi ni kweli makamu mwenyekiti aliomba gari kamati kuu wakashindwa kumpatia, na kumshauri atumie njia ya kuomba achabgiw
yes,
wapate ufafanuzi tu kama hakuna sio tabu pia 🐒

ni miongni mwa maswali muhimu sana wanachadema wengi kwanza wanajiuliza, lakini pili wanahoji ili kupata ufafanuzi na kuondoa mkanganyiko na sintofahamu iliyopo miongni mwao juu ya jambo husika 🐒
 
Ni wewe ndio unawawekea hayo midomoni mwao.
 
Iko hivi mkuu
wazo la kuchangia gari la Tundu Lisu(Namwita Tundu Lisu ili kumtenga na cheo chake).Lisu ha kuomba kuchangiwa Bali yalikua mwazo binafsi,Alipofika Maria sarungi akaona aweke mapemdekezo kama mwanaharakati,Kumbuka Maria sarungi sio Chadema.

Hakuna popote pale lilipotumika Jina la chadema kuomba michango ya Tundu Lisu zaidi hata yeye analipoti mwenendo wa michango ya gari kama Lisu sio makam mwenyekiti.

Account inayotumika ni account binafsi ya Lisu na sio ya Chama kupokea hiyo michango.

Lile lilikua gari binafsi kama mbunge na sio mali ya Chama, so swala la mafuta ni ishu binafsi pia.

Lisu ana gari kama makam mwenyekiti wa chadema na Ndio huzunguka nalo katika mikutano yote ya Chama na matembezi.

Mbona hadi wa Chama ta wala wamechangia sioni shida hapo mkuu ni mind set yako tuu.
 
Back
Top Bottom