yes,Umeandika..Wapo wanao hoji kwamba, hivi ni kweli makamu mwenyekiti aliomba gari kamati kuu wakashindwa kumpatia, na kumshauri atumie njia ya kuomba achabgiw
Ni wewe ndio unawawekea hayo midomoni mwao.yes,
wapate ufafanuzi tu kama hakuna sio tabu pia π
ni miongni mwa maswali muhimu sana wanachadema wengi kwanza wanajiuliza, lakini pili wanahoji ili kupata ufafanuzi na kuondoa mkanganyiko na sintofahamu iliyopo miongni mwao juu ya jambo husika π