A
Anonymous
Guest
Kumekuwa na kero kubwa katika mitaa ya Ubungo NHC, halmashauri imeshindwa kuleta gari la taka kwa wakati Leo ni siku ya 5 taka zipo na hakuna juhudi zozote na maeneo taka yalipo ni karibu na makazi ya watu, tunaomba halmashauri ifanyie haraka hii maana kipindupindu bado hakijatuacha