Mhaiki2022
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 132
- 187
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.
Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo