Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

Trick ya kwenda kuangalia mpira bure, hakuna kitu hapo, mbona kikiwa ba mkutano wa injili hapo uwanjani huwa hawaendi? Hawa baada ya kuona Police wanaingia kwa kigezo cha kulinda usalama na wao wakaa wakabuni nnia ya kwenda kuangalia mpira ndio wakaja na hio staili
Sio kweli. Hilo liko chini ya Utaratibu.Haiwezekani askari wakajimobilise, wakavaa uniforms na kuchukua gari la kazi na vifaa vya Serikali bila wakubwa kujua ni nini kinaendelea. Hilo dili au janja-janja litawahusu wengi na sio rahisi wote wakakubaliana na kamchezo hako.
 
Mwaka jana September huko miami kwenye uwanja mmoja wa basketball gari iliwaka moto ikiwa parking watu waliokuja kusaidia ni watu wa zimamoto wasingekuwepo pale uwanjani magari ya watu wengi yangewaka moto
 
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.

Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Lipo pale kwa ajili ya kuhifadhi maji ya kunywa kwa ajili ya mashabiki
 
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.

Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Duhhh!!huko Jupiter kwenye viwanja vyenu hamuwekagi hayo magari???
 
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.

Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Simba wanawasha moto uwanjani, wakishindwa kuudhibiti ndio zimamoto wanahusika
 
Na si ajabu huwa hayana hata maji,yapo tu pale sababu ya kanuni inayotaka yawepo.

Lifanyike zoezi la utayari siku moja tuone maajabu ya Moses.
Huwa najiuliza, haya nagari kuwa na maji wakati wote kuna gharimu nini?

Kuna vitu havieleweki kabisa.
 
Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.

Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Uwanja una mfumo wa nishati ya umeme.. Na pengine generator nknk.. Likitokea tatizo la moto ndani ya uwanja (sio uwanjani) gari litafanya kazi yake
 
Mbona mnapopoa sana??
Kauliza ni vyema aeleweshwe tuu...
 
Afu ndo nyie hamkawii kusema wanawake wasomi ni feminist

Yaan mtu hata kazi ya zimamoto hajui akioa msomi akirekebishwa ataanza ooh mfeminist ooh sijui hivi😂😂😂😂😂😂
Duu una nongwa.
 
Back
Top Bottom