Mhaiki2022
Senior Member
- Jul 13, 2022
- 132
- 187
Football hooliganism anything can happenKwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Uwanjaa unatumia gesi kusashataa nk#_&-+++Kwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika. Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo
Naongezea tu mkuu: Hata jukwaa laweza poromoka na watu wakafunikwa na kifusi bila kusahau shoti ya umeme itakayopelekea moto kutokea.Wale sio zima moto pekee... Ni jeshi la uokoaji pia, na ukiwaona usiwaze moto tu, ata mikanyagano ina itaji uokoaji!
Naongezea tu mkuu: Hata jukwaa laweza poromoka na watu wakafunikwa na kifusi.
Trick ya kwenda kuangalia mpira bure, hakuna kitu hapo, mbona kikiwa ba mkutano wa injili hapo uwanjani huwa hawaendi? Hawa baada ya kuona Police wanaingia kwa kigezo cha kulinda usalama na wao wakaa wakabuni nnia ya kwenda kuangalia mpira ndio wakaja na hio stailiKwa kweli nimekuwa nashangazwa sana kuona gari la zimamoto hapa bongo kila wakati mechi zikiwa zinachezwa, sasa najiuliza la nn badala ya kuweka ambulance nadhani ni chombo husika.
Nasikia kuna timu iliwahi kususia mechi kisa hapakuwa na gari la kuzima moto. Tubadilike wabongo