Gari la zimamoto kwenye Uwanja wa Mpira la nini

Sio kweli. Hilo liko chini ya Utaratibu.Haiwezekani askari wakajimobilise, wakavaa uniforms na kuchukua gari la kazi na vifaa vya Serikali bila wakubwa kujua ni nini kinaendelea. Hilo dili au janja-janja litawahusu wengi na sio rahisi wote wakakubaliana na kamchezo hako.
 
Mwaka jana September huko miami kwenye uwanja mmoja wa basketball gari iliwaka moto ikiwa parking watu waliokuja kusaidia ni watu wa zimamoto wasingekuwepo pale uwanjani magari ya watu wengi yangewaka moto
 
Lipo pale kwa ajili ya kuhifadhi maji ya kunywa kwa ajili ya mashabiki
 
Duhhh!!huko Jupiter kwenye viwanja vyenu hamuwekagi hayo magari???
 
Simba wanawasha moto uwanjani, wakishindwa kuudhibiti ndio zimamoto wanahusika
 
Na si ajabu huwa hayana hata maji,yapo tu pale sababu ya kanuni inayotaka yawepo.

Lifanyike zoezi la utayari siku moja tuone maajabu ya Moses.
Huwa najiuliza, haya nagari kuwa na maji wakati wote kuna gharimu nini?

Kuna vitu havieleweki kabisa.
 
Uwanja una mfumo wa nishati ya umeme.. Na pengine generator nknk.. Likitokea tatizo la moto ndani ya uwanja (sio uwanjani) gari litafanya kazi yake
 
Mbona mnapopoa sana??
Kauliza ni vyema aeleweshwe tuu...
 
Afu ndo nyie hamkawii kusema wanawake wasomi ni feminist

Yaan mtu hata kazi ya zimamoto hajui akioa msomi akirekebishwa ataanza ooh mfeminist ooh sijui hiviπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duu una nongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…