Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa reporting hivyo sikuweza kuuliza lolote, ila by looking kwenye hiyo video, milango iko wazi ku signify waliokuwa kwenye gari wote wamesalimika.
Kuna zile standby gari za fire za private companies maeneo mbali mbali ikiwemo pale Mwenge, Morocco, Mbuyuni, huwa ni za nini?.
Uswazi kuna uzuri wake!
Pole wahanga!.
P