SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Yaani waache kulinda Buyu la Asali😤 moto kila siku wahangaike.
ðŸ¤ðŸš’🚒🚒
Tuendelee kutoa Pongezi.
Kazi ziendelee
ðŸ¤ðŸš’🚒🚒
Tuendelee kutoa Pongezi.
Kazi ziendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya asilimia 70 unasikia wako DaslamJF ina Watumiaji 600,000
Dar ina watu 5.4mil
Kwa hiyo wanalipiga kiberiti wakiwa humohumo ndani?
umbea ndio umekuja kumsema mshkaji wetu huko boya wewe
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa reporting hivyo sikuweza kuuliza lolote, ila by looking kwenye hiyo video, milango iko wazi ku signify waliokuwa kwenye gari wote wamesalimika.
Kuna zile standby gari za fire za private companies maeneo mbali mbali ikiwemo pale Mwenge, Morocco, Mbuyuni, huwa ni za nini?.
Uswazi kuna uzuri wake!
Pole wahanga!.
P