Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Very sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajifunze kutumia fire extinguisher siku ingine
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa reporting hivyo sikuweza kuuliza lolote, ila by looking kwenye hiyo video, milango iko wazi ku signify waliokuwa kwenye gari wote wamesalimika.
Kuna zile standby gari za fire za private companies maeneo mbali mbali ikiwemo pale Mwenge, Morocco, Mbuyuni, huwa ni za nini?.
Uswazi kuna uzuri wake!
Pole wahanga!.
P
Tutumie basi tuoneNimeona mabaki jioni hii 😕
Gari za fire za private zipo kwaajili ya wateja wao walio lipia huduma kabla ya majanga kutokea pale unapo waona wapo kusubiri taarifa ya moto kwa wateja wao ili waende kuzima moto na kama mteja wao unafungiwa mitambo nyumbani au Kiwandani, hospitali nk, kwaiyo moto ukitokea alarm inatuma.Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa reporting hivyo sikuweza kuuliza lolote, ila by looking kwenye hiyo video, milango iko wazi ku signify waliokuwa kwenye gari wote wamesalimika.
Kuna zile standby gari za fire za private companies maeneo mbali mbali ikiwemo pale Mwenge, Morocco, Mbuyuni, huwa ni za nini?.
Uswazi kuna uzuri wake!
Pole wahanga!.
P
Tatizo siyo fire extinguisher tatizo wananchi wana elimu ya kutumia hivyo vifaa.Nissan Dualis hiyo imeteketea yote
Nchi ngumu sana hii katika masuala ya uokozi inamana gari nyingi hazina fire extinguisher na zilizonazo hazifanyikazi zipo kama mapambo tu
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa reporting hivyo sikuweza kuuliza lolote, ila by looking kwenye hiyo video, milango iko wazi ku signify waliokuwa kwenye gari wote wamesalimika.
Kuna zile standby gari za fire za private companies maeneo mbali mbali ikiwemo pale Mwenge, Morocco, Mbuyuni, huwa ni za nini?.
Uswazi kuna uzuri wake!
Pole wahanga!.
P
Inategemea kama kakata bima kubwa, vinginevyo ni maumivu...amepata sababu ya kununua gari mpya kwa hela ya bima..
Kivipi mkuu...Dualis again, ifikie mahali bandarini wazuie hizo gari kuingia nchini
Wanabodi
Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu,
Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!.
Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!.
Mtanisame nili staafu uandishi wa reporting hivyo sikuweza kuuliza lolote, ila by looking kwenye hiyo video, milango iko wazi ku signify waliokuwa kwenye gari wote wamesalimika.
Kuna zile standby gari za fire za private companies maeneo mbali mbali ikiwemo pale Mwenge, Morocco, Mbuyuni, huwa ni za nini?.
Uswazi kuna uzuri wake!
Pole wahanga!.
P
Kwa hiyo wanalipiga kiberiti wakiwa humohumo ndani?Siku hizi kumekuwa na tabia ya baadhi ya wamiliki wanalipua moto ili walipwe na bima.yaani unakuta mtu ana bima kubwa gari kashalichoka sasa anafanya hivyo ili kulipwa jingine.huu mchezo hata jamaa yangu alifanya hivyo raum yake na kweli bhana alihonga nadani mejeja wa bima na hadi kapewa lingine.kwa sas hii ndio habari ya mujini.
Ngoja nichomekee neti kwanza
Angalau umekuwa siriazi [emoji16]Poleni sana hakuna kituo cha zimamoto karibu hapo
Angalau umekuwa siriazi [emoji16]
Nikadhani nina kengeza,kumbe kweli ni wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zinaungua sana kumbeDualis again, ifikie mahali bandarini wazuie hizo gari kuingia nchini
Kazi kwa Insurance company kama ana Bima kubwa!!Bora hakuna aliyeumia
Fire extinguisher nyingi watu hawajui zitumiaMsaada rahisi ni kutoka kwa wenye magari wengine, mara zote kwenye magari yetu tunakuwa na Fire Extinguisher, tuwe wepesi wa kusaidia wenzetu, Idara ya zimamoto haiwezi kucover eneo lote hivyo ni jukumu letu pia kutoa msaada kwa aina hiyo ya moto.
Ahsante.